Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

HALAFU TUSHACHOKA NA PICHA ZENU ZA KUCHA MIDOMO NA MIGUU UTASEMA TUPO KWENYE PAGE YA WAPAKA KUCHA RANGI NA WAUZA VIPOZI NA VIATU WAREMBO WA JF MNAKWAMA WAPI SIMAMENI TUONE CHURA TUONE MAUMBO TUONE REHEMA NA BARAKA ZA UUMBAJI

Mfano kama ile alioipiga miminimama ule ni mfano mzuri halafu msituchoshe maneno mengi

Vigezo na masharti kuzingatiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu nimegundua picha nyingi zinazowekwa humu ni za viungo vya kutamanishana tu. Halafu huoni chote unabaki tu na hamu zako[emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mungu anawaona
Tena ngoja niweke trakooooo 😂😂😂
 
Kila mtu ni mbea hasa mtandao huu, unajikuta unatamani umjue fulani maisha yake nk

nakutamania kweli unavyowachora wenzio ila usiwachomolee betri tafadhali
Alafu mmoja ni mwanamke mwingine ni mwanaume ika huyu mwanamke ndo anajishauwaga sana humu hata kipindi cha mwanzo niliwahi kumuhisi na kweli ndo nimekuja kumwona ni yeye
 
Back
Top Bottom