Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi ni mkubwa mzee picha yangu itakuchosha tu, we furahia za hapa jukwaani.
Kweli kule Kuna wagumu tu,
Bebez zipo huku nimeshuhudia Leo before nilijuwa jf tupo boys tu kumbe totoz wapo wa kumwaga.

Nimepitia hii nyuzi mwazo mwisho sijaona hata kapicha kako ndo naomba pm.
 
Kwetu mnabishana, halafu mmoja akitaka kwenda mahali anamwomba mtu amshikie ubishi, aliyebaki ameshika ubishi ni mbishi kuliko mwenye ubishi. Na mwenye ubishi akija anaendeleza pale alipoishia yule aliyemshikia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi ndio waha eeh
 
71342798_756183824835557_5394908411915665408_o.jpg
 
Back
Top Bottom