Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahah nimeficha sura maana najijua mimi ni mbaya kwelikweli besti...

Atleast sasa hata ikitokea mtu kanichomolea betri nitakuwa na amani maana nimejipost kabisa..
Sura nzuri kwa mwanaume ni ya nini? Una mwili mzuri no kitambi( i hate vitambi eeh) sema uongeze ukomau umekuwa laini sana
 
Nasubili usafili saa nzima eti mwendo kasi dah si kwa kujaza huku
IMG_20190930_155945-1.jpeg
 
Back
Top Bottom