Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Atakupa tu hanaga shida huyo
Ndio nasubili huyu mganga wa Jf anipe ID yake mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nasubili huyu mganga wa Jf anipe ID yake mpya
Anataka kufundishwa kutengeneza limbwata?Hii ipeleke kule kwenye uzi wa mshana
Iko hiyo hiyoNdio halisi yako
Sana.Hii siredi ni stress reliever
Kuna uzi wa kuweka pichaAnataka kufundishwa kutengeneza limbwata?
Hapana. Ile movement hainigusi mie
Halafu ya kwako sijaiona.Hamna kitu mkuu
Sana.
Tumejitupiamo jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ila yako sijaiona
kwahiyo?Kuna uzi wa kuweka picha
Post zile zako ulizomwembamba za huyu asha boko ziacheKwani huuoni jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya,kwa faida ya wengine natupia Tena pichaView attachment 1220066
Yes, kwa haraka haraka mtu anaweza dhani wewe ni mnyaturu maana hata umbo lako linasadiki besti..
Sura nzuri kwa mwanaume ni ya nini? Una mwili mzuri no kitambi( i hate vitambi eeh) sema uongeze ukomau umekuwa laini sanaHahah nimeficha sura maana najijua mimi ni mbaya kwelikweli besti...
Atleast sasa hata ikitokea mtu kanichomolea betri nitakuwa na amani maana nimejipost kabisa..
Nitalalaje na vitu VITAMU kama hivi...Ebu amken 2chat kidogo
Mguu huoNini mkuu?