min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ugimbi ni ninπππ sema wachaga kwa ugimbi wameshindikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugimbi ni ninπππ sema wachaga kwa ugimbi wameshindikana
Majini yanakataza kuhonga ππMfano ukitoa fungu moja hapo ukanipa utapungukiwa nini?
yaliopita Sandwele tugange ya jayo embu nitafutie kakijiwe cha uongo hapo kkoo nikija nipate pesa now nimefulia mpaka miti inanizomeaSema dogo ulinichefua kukosa hivyo hizo Jordan ningekubless bila kutoa mia mbovuπππ
Natamani kumuomba tena Ila naona aibu aisee, maana nilizuga shida yangu ishaisha kumbe bado hali teteUsinambie? Em tajiri Bantu Lady njoo utufanyie jambo..
Mi naomba anipe pesa niongezee mtaji wa vijora πππ
Dogo hukufatilia ule mchongo??yaliopita Sandwele tugange ya jayo embu nitafutie kakijiwe cha uongo hapo kkoo nikija nipate pesa now nimefulia mpaka miti inanizomea
Kama mimiπ πkuna wachaga wengine ni matajiri wa ulev sio wa pesa
Bff nimekumis hebu selfikaaMajini yanakataza kuhonga ππ
Kwa ulivyo ww tajiriiii na ile ndinga sasa.!!?Hahaha sio kwel na sio kwanguπππ
PombeUgimbi ni nin
Sio kuhonga ni kunisaidia tuMajini yanakataza kuhonga ππ
hapana kuna jambo lilitokea nikastop nikapotea kabisa hata mtandaon sikuwepo kabisa at sm za kawaida sikuwa onlineDogo hukufatilia ule mchongo??
Njoo nikuvalishe kijora uite wateja ππyaliopita Sandwele tugange ya jayo embu nitafutie kakijiwe cha uongo hapo kkoo nikija nipate pesa now nimefulia mpaka miti inanizomea
kqbisa ww si ndio.yule unaamkia.barKama mimiπ π
Si umesharudi fanya sasahapana kuna jambo lilitokea nikastop nikapotea kabisa hata mtandaon sikuwepo kabisa at sm za kawaida sikuwa online
No bhna , ndinga kitu gani bhna π₯²Kwa ulivyo ww tajiriiii na ile ndinga sasa.!!?
Nimelia sana mimi napanda mwendokasi wenzetu mnasukuma ndinga kalii kinyama.!!πππ
πππ muombe usione aibu shauri yako utalala njaaNatamani kumuomba tena Ila naona aibu aisee, maana nilizuga shida yangu ishaisha kumbe bado hali tete
Kwenye maombi 12 niliyoandika pale kawe! Mmoja ni la kupunguza vita zako.π€£π€£π€£ sema kweli??
Nishaselfika mpk nasikia uvivu π€£π€£π€£Bff nimekumis hebu selfikaa
Kijora tena uhuuu ππNjoo nikuvalishe kijora uite wateja ππ
Kwa siku tukiuza piece 1000 basi tunatoboa dogo