Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Si atakuwa kama Ras sasa muimba reggae
Pambano litakuwa gumu
Ila navyomjua atakuja kivingine
Hapoi haboi yaani
😂😂😂
Nkamu unachonifanyia leo haki kesho ntashinda nasinzia.!
Shangazi Hana mbambamba mi ananikoshaga sana.!!
Tujiandae marefa mchuano utakuwa moto sana.!!
 
😂😂😂
Nkamu unachonifanyia leo haki kesho ntashinda nasinzia.!
Shangazi Hana mbambamba mi ananikoshaga sana.!!
Tujiandae marefa mchuano utakuwa moto sana.!!
Ila kuja lazima aje tu
Ila sijui kama atashinda
Tumuombee kwa mama maria yu naye

Bantu na kapeace wakifurumua bomu jingine inakwenda kuwa balaa🔥🔥
 
Huyu dada anaiwezea sana aisee
Yaani ni mtaalam

Mimi bodyline yangu ya buku hatari sana najikandika hadi usoni
Urembo ni sifuri kabisa
Hata powder ya 500 noo
Yaani nipo mbali sana
Siku hizi najitahidi kapoda napaka paka ila ndo joto la dar sasa aiii likinikera nanawa, nilipaka makeup kwenye harusi flani kiukweli sikujipenda nilivyotokea km nataka kulia 🤣🤣🤣sitarudia
 
Hivi ini ndio nani jamani
Nilipitwaga😂😂
Mi mwenyewe nilikutia story coca anasimulia nikachangia nikala ban 😂😂😂
Nikaingia chimbo mpk nikamjua na kanipa full story nilicheka sana.!!

Alikuwa anawapa simu wanawake anaongea na wadau wa JF kisha wanatuma miamala 😹😹
Em ninyamaze ntasutwa mie
 
Siku hizi najitahidi kapoda napaka paka ila ndo joto la dar sasa aiii likinikera nanawa, nilipaka makeup kwenye harusi flani kiukweli sikujipenda nilivyotokea km nataka kulia 🤣🤣🤣sitarudia
Mamaangu akipak wanja ukimuangalia usoni anaufuta 🤣
Mm lipstick hodar wanja ndo unanishinda
 
Siku hizi najitahidi kapoda napaka paka ila ndo joto la dar sasa aiii likinikera nanawa, nilipaka makeup kwenye harusi flani kiukweli sikujipenda nilivyotokea km nataka kulia 🤣🤣🤣sitarudia
Hebu tuone ulivyotokea
Yawezekana wewe hujui kujiona😂

Hapo tu huna makeup
Umetetemesha hadi server za jf
Za makeup zinaenda kubomoka kabisa server za Melo🔥
 
Mi mwenyewe nilikutia story coca anasimulia nikachangia nikala ban 😂😂😂
Nikaingia chimbo mpk nikamjua na kanipa full story nilicheka sana.!!

Alikuwa anawapa simu wanawake anaongea na wadau wa JF kisha wanatuma miamala 😹😹
Em ninyamaze ntasutwa mie
Tatizo stori za Coca zinahitaji kiwango cha juu sana Cha umbea na kuelewa
Mi natokaga holaa
Kakoka bhana kambea ka kimataifa

Kweli umbra kipaji
 
😂😂😂yani wewe ulitakiwa upewe mjulubeng kule downtown kwahiyo wifi yako aifute chap ila wengine aahhh walahi kesho utafute pa kujificha
😂😂😂 Ningeupata mngekoma ningewapanga km miongozo halafu siwahongi ni free P tyuu.!!! Humu tyuu.!!
Mi kazi yangu kuwarusha mmahh pwaah pwaah 😹😹

Nyie wote nawalinda mali za watu 😂
 
Hebu tuone ulivyotokea
Yawezekana wewe hujui kujiona😂

Hapo tu huna makeup
Umetetemesha hadi server za jf
Za makeup zinaenda kubomoka kabisa server za Melo🔥
Makeup hainikai hata picha sipigagi niamini Saint, nachukiza labda nilipakwa vibaya ila nilitoa laki kwa ajili ya makeup tu aah kuna vitu sio vyangu nakubali vinipite tu
 
Hapa sasa tutakuwa tunakuja hata za kudanlod nazo si mnaangalia?
GXCPpXhWEAAhZkf.jpeg

Niache kwanza nivute tumbaku yangu..
 
Ila kuja lazima aje tu
Ila sijui kama atashinda
Tumuombee kwa mama maria yu naye

Bantu na kapeace wakifurumua bomu jingine inakwenda kuwa balaa🔥🔥
😂😂😂😂
Humu tyuu.!!
Nkamu tulaleni nyie usiku mkubwa
 
Back
Top Bottom