Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 2,904
- 7,489
Zako hata usipozipaka mkuu ni nene zinafaa sanaUzuri unapendeza mie hapana sipendezi na hivyo vitu na sijui kuvipaka 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zako hata usipozipaka mkuu ni nene zinafaa sanaUzuri unapendeza mie hapana sipendezi na hivyo vitu na sijui kuvipaka 🤣🤣🤣
Nadhani mimi na Junia tulishalisema hili miaka mingi iliyopitaUnanijaza 🤣🤣🤣
Ulilala ndo umeamka 🤣Zako hata usipozipaka mkuu ni nene zinafaa sana
😂😂😂Hapo kwenye vitenge
Mimi nguo za vitenge aisee napenda.
Nilivyokuja Mjini Dar nikapunguza maana zina joto sana
Nilikuwa navaa utasema umoja wa wamama
Kias ndugu najitahid kwakweli uongo dhambiNadhani mimi na Junia tulishalisema hili miaka mingi iliyopita
Auntie hana mpinzani aisee🔥🔥
Dar haitaki vitenge naviangaliaga vitenge vyangu roho inaniuma nimebaki kuvaa kanisani tu, huku ni vijora, za dukani na mtumbaHapo kwenye vitenge
Mimi nguo za vitenge aisee napenda.
Nilivyokuja Mjini Dar nikapunguza maana zina joto sana
Nilikuwa navaa utasema umoja wa wamama
Kuna ile wanawake nimewaona wana hio inaitwa glass skin, nahisi utakuw mmoja wapo...Mimi make up najua kujipaka vizuri. Ila kwasasa nimeacha, niko busy na skin care so uso hauhitaji make up. Muda wote ngozi imeglow.
Mi mwenyewe siwezagi lazima nilambeTatizo sichelewi kuimeza, ujue kuna vitu vina mwenyewe, mi kwenye urembo hela yangu inaishiaga kwenye nywele bhana sio wigs ila misuko napenda sana
Mimi make up najua kujipaka vizuri. Ila kwasasa nimeacha, niko busy na skin care so uso hauhitaji make up. Muda wote ngozi imeglow.
Nilibeba minguo ya vitenge begi ZimaDar haitaki vitenge naviangaliaga vitenge vyangu roho inaniuma nimebaki kuvaa kanisani tu, huku ni vijora, za dukani na mtumba
Huyo member jeuri eti anawapa na mbinu za kumuadabisha mtuhumiwa wakati ni yy mwenyewe 😂😂😹My Wii nimecheka Kwa nguvu🤣🤣🤣
Ndio nzuri😂😂😂😂😂😂😂😂
Nguo ya kitenge ninayo ila huo mpasuo niliowachorea halafu wa mguuni sasa nikivaa upaja huu hapa 😹
Asante ila nakula ndo tatizo, enzi za skuli nikiwa fom 2 c wale mashindikanaa walikuwa wanaleta 💄 wananipaka halafu nalaza lips kwenye barua za wapenzi wao nilikuwa km zoba eeh basi nawashangaa kweli, hadi wa fom foo walikuwa wanakuja niwasaidie,Zako hata usipozipaka mkuu ni nene zinafaa sana
Siyo kiasiKias ndugu najitahid kwakweli uongo dhambi
Asante na mimi nalala somo la picha wasipotupa haturudi tena humuMimi nalala, nimecheka sana leo. Nyie watu mnachekesha nashangaa ugomvi humu unatokeaje na tunacheka hivi.
Kesho panapo uzima, mimi na Kapeace mtupe somo la picha, tufanyaje ili hata mkiquote zifutike.
Mlale unono nawapenda sana 😘