cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Tajiriii anatoaa vochaa kubwaa kubwaa hadi unaogopaaaa.Ombeni mtapewa
Aombaye hupokea.
Mimi na cocastic tuliomba hapahapa jukwaani
Tunaomba tajiri atuwekee pm ili wahuni wasije wakapita nazo hapa.
Tajiri amenitoa kwenye bando za miatano na buku[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tuliombaa hapaa, na Tumewekewaa PM.
Bantu Lady ishii sanaa luv, hunaa bayaaa, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]