Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna kitu kigumu kama kuwa mtoaji, mm mwenyewe huwa najitahidi kutoa Ila Kuna muda nashindwa moyo unakua mgumu
Yah
Sure
Ni wachache sana duniani wenye huo moyo .

Mimi mtoaji ila ni vile sina tu hela..
Namuomba Mungu Sana anipe kiwango Cha hela kinachoendana na roho yangu ya utoaji.
 
Amina, Amina [emoji120][emoji120][emoji120] Ahsante sana. Barikiwa sana Saint Anne mtu akikuombea ni kitu kikubwa kuliko vyote. Napokea [emoji2969]
Hakikaa umeombewaa na wengiii, Barakaa zishukee juu yako km matone ya mvua ya mawee yadondokayo ardhini.

Barikiwa sanaaa luv BL, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hakikaa umeombewaa na wengiii, Barakaa zishukee juu yako km matone ya mvua ya mawee yadondokayo ardhini.

Barikiwa sanaaa luv BL, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Amina 🙏
Ahsante sana luv. Tubarikiwe sote.
 
Back
Top Bottom