raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Chiisos christ 🔥Morning wapendwa!
Muwe na Tues day njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chiisos christ 🔥Morning wapendwa!
Muwe na Tues day njema
Amin🔥🔥🔥🔥Amina, Amina 🙏🙏🙏 Ahsante sana. Barikiwa sana Saint Anne mtu akikuombea ni kitu kikubwa kuliko vyote. Napokea 🤲
Aminaaaa!! [emoji120][emoji120][emoji120]Amina [emoji120]
Ahsante sana luv. Tubarikiwe sote.
😂😂😂Mi nipige tafu walinikariri
Leo wananiuliza,ndugu mteja hukopi?
😀😀😀
Mimi Kama Tyson, atakutana na kitu kizito😂Km nakuona ambavyo ungeenda bila hata kuitwaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MbantuThe View 😍View attachment 3112352
Tajiri anakula maisha🔥🔥🔥The View 😍View attachment 3112352
Hivi lini utaselfika shemegi?Mimi Kama Tyson, atakutana na kitu kizito😂
Mwambie atupie pasi akiwa anatoka swimmingTajiri anakula maisha🔥🔥🔥
Wee Mr likes hebu tubless kwanzaaaa au hadi utupie vitu vyako kwa kichwa!!Chiisos christ 🔥
Mnywanii Hivi hata unakumbuka mara ya mwisho kutupia humu ni lini???Mashallah mashallah.
Toto zuri lenye ngongingo yake mjini
The View 😍View attachment 3112352
😂😅😁😁😁Bantu Lady tajiri tubless vocha vijana wa TIA tunakufa uku kwa sup
Haha una kumbu kumbu ilikuwa Eid ehMnywanii Hivi hata unakumbuka mara ya mwisho kutupia humu ni lini???
Tangu sijui sherehe ya Eid 2022 nadhani 😊!
Ndio ulidinda kabesaaa kutubles mnywanii huendi mbinguni ujue!!
Wakora waitu
🙏😍 Asante Kwa kukazia😄Bantu Lady mbless huyu dada yangu mtumishi hanaga kweree, utabarikiwa zaidi😂
HakikaOmba tu wizo 😂😂😂
Usije kufa na shida wakati watu wapo