Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Inasaidia kuamsha vilivyolala kwetu WanaumeInafanya kazi gani Ili nianze kutengeneza hapa nyumbni😃
Hata Wazee wa Umri wetu ambao huenda safari moja Kwa Mwaka, wanajikuta wanaenda safari moja Kwa Mwezi ama safari 12 Kwa Mwaka 🏋️🏋️🤸🤸🤸