Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Inafanya kazi gani Ili nianze kutengeneza hapa nyumbni😃
Inasaidia kuamsha vilivyolala kwetu Wanaume

Hata Wazee wa Umri wetu ambao huenda safari moja Kwa Mwaka, wanajikuta wanaenda safari moja Kwa Mwezi ama safari 12 Kwa Mwaka 🏋️🏋️🤸🤸🤸
 
Kwa uzee gani ulionao jamani halafu toka nizaliwe sijawahi kukiona kiko😀
Nimekula chumvi nyingi ujue, hadi Mvi zimeamua kujenga urafiki na Mimi 😜

Ukifika Dukani waoneshe hii picha hapa Chini, waambie Babu yangu anaomba hiki kifaa cha kuvutia tumbaku 🤗
Screenshot_20241010-130525_1.jpg
 
Wazee wa kufukua makaburi

Umedhamiria kumchanganya mzee Grahams mkuu.

Acha babu aitafute pepo
Hahaha..........na nilivyo busy Siku hizi kuitafuta pepo, useme macho tu yananiangusha kutaka kuangalia Kila mali safi ipitayo barabarani

Last time nilikimbizwa hospitali Kwa maumivu ya shingo yaliyotokana na kugeuza shingo mara Kwa mara kuangalia hao mabinti wa Mwaka 2000 hapo geti la Mlimani city 🙌
 
Hawa watoto wa 2000 kwako si vilembwe hawa mzee.

Haha wazee wa sasa hivi mi nilidhani utaishia kwenye 199s
 
Back
Top Bottom