Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

Una Mr wako halafu anakuita tumajina twa kimahaba au ndivyo mlivyokuwa mnaitana hapo kabla?.
 
Kwa uombaji wa msamaha huo na sms nyingi kiasi hicho inaonekana huyo kijana bado ana utoto umejaa kwenye ubongo wake.
Ulivyo mjibu tu kuwa umeletwa na mr. pale pale alitakiwa aione hatari na kufuta lengo lake juu yako.
Lakini na wewe kabinti kwa uzuri wako utawasumbua sana wakwaree
 
Wewe kama hukumuelewa sema tu, haya weka na zawaliofanikiwa kukukula hapa tuone ilikuaje-aje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…