Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

Sawa toa ubunifu toa mambo makubwa bado hata huko kwenye usimamizi wa miradi wataalamu wengi wakusimamia hawatoki bongo wanatoka nje. Mainjinia wabongo wengi wanaenda tarula kwenye barabara za vumbi sijui tanroad kuweka vilaKa. Wakati huhuo kuna bongo wengi hawana hizo degree na wanafanya vizuri sanasana kwenye umeme.
 
Embu yataje hayo mapokeo mkuu.
 
Embu yataje hayo mapokeo mkuu.
Shule za nyumbani(home schooling), kujifundisha au kujisomea, mwenyewe(self taught),
mafunzo kazini (on job training),
Uzoefu wa kazi (apprenticeship),
Uvuvio ( inspiration)
 
Wakuu degree bongo hii degree zinatumika Kwa ufasaha ni mbili tu. Ya udokta na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu yaani Zinakuwa kama useless.
Kwa sababu haziyaathiri maisha yako moja kwa moja au?

Hiv unajua ni nn kinasababisha Leo unaandika hapa na watu wanasoma unachokiandika?
 
Someni wadogo zangu msije kuishia tulipoishia kaka zenu tunabeba tofari bosi anataka uchimbe shimo la choo futi 20 ana maana gan?
 
Ila mainjinia wa magharibi wamiaka hiyo wenye elimu za kawaida walifanya.

Wright brothers ( high school dropper) walibuni ndege
Uko kitumwa wa historia enzi hizo hakukuwa na vyombo vya kusimamia ubora ndio maana hao wagunduzi ndege wakijaribu iliwaua


Sasa hivi huwezibuni ndege Yako huna Elimu ya Engineering na kusomea upilot ukairusha hakuna kitu kama hicho usikariri historia.
Sasa hivi ukitengeneza ndege au helikopta na hujasoma lazima waje mainjinia waliosoma kuhakiki ubora popote duniani
 
Ila mainjinia wa magharibi wamiaka hiyo wenye elimu za kawaida walifanya.

Wright brothers ( high school dropper) walibuni ndege
Uko kitumwa wa historia enzi hizo hakukuwa na vyombo vya kusimamia ubora ndio maana hao wagunduzi ndege wakijaribu iliwaua


Sasa hivi huwezibuni ndege Yako huna Elimu ya Engineering na kusomea upilot ukairusha hakuna kitu kama hicho usikariri historia.
Sasa hivi ukitengeneza ndege au helikopta na hujasoma lazima waje mainjinia waliosoma kuhakiki ubora popote duniani
 
Hivi mimi na wewe nani Yuko kitumwa zaidi. Kwanza kabisa engineering sio Sheria ni matumizi ya sanyansi na hesabu kulingana na uchumi wa eneo uhusika Sasa huwezi lazimisha nitumie engineering ya marekani wakati marekani ametuzidi uchumi mara kaza Mfano huwezi lazimisha nitumie titanium wakati Kwangu Kuna Mbao Bora nifikirie niboreshaje Mbao iwe na uwezo kama titanium. Hayo mavyombo ya usimamizi ndio yanayowafanya muwe mafala yaani yasimimaie maarifa ambayo watu walirisk maisha Yao na familia kuyaleta nyie mnataka kuyacopy kirahisirahisi tu with empty hand.
 
Ndio maana bongo wanajiita mainjinia walikaririshwa engineering wamekua mabodaboda, madalali, wachuuzi, Jobseeker
Na wanasiasa wasomi wamegeuka ombaomba huku wakizunguka kutafuta wawekezaji huku wakiaminishwa maarifa yaliyopo ndio Sheria Kwamba huwezi fanya nje ya hayo maarifa ya ughaibuni. Ndio maana nchi inaishia kuwa maskini na ombaomba

Lakini watu ambao hakuwapita darasani walipata elimu Kwa njia nyingine ndio wamekua waendasha uchumj wa nchi watu kama artisian miner, Mafundi ujenzi, mafundi umeme, wakulima.
 
Daa😭😭😭 mwambie dogo arudi nyumbani haraka sana tena mwambie huyo mama kama anampenda mtoto wake hiyo hela ya ada ampe kama mtaji wa kitaa ,,,,dogo aendo huko chuo wanakotuibia hela zetu pale tu atakapopata mkopo na hiyo coz ni bonge la scam muonyeshe hii post huyo mama ujinga wa wazazi wetu ndo unaofanya yote haya yanatokea
 
Shida wazazi wengi wamepata muamko wakati ambao Elimu imekua ya kitapeli zaidi Na serikali ya CCM imewahadaa sana ila na dhani wakijifunza Kwa walio tangulia kama ulivyo mshahuri itakuwa vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…