Folk Part II
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 419
- 490
Mzunguko mrefu uliojazwa na irrelevant nyingi ambazo hazinamaana katika field unatumia farad sijui squence equation unafika field ni wewe na waya, switch, bolt,prize ,unazingatia live, neutral na earth wire, circuit breaker, meter wakati darasani ulicalculate mahesabu ya meter ya umeme sijui circuit breaker,,mahesabu mengine hata hayaeleweki yapo kwenye mfumo ganiUmewasahau Wahandisi wa Umeme.
Pamoja sanaaNilikuwa namwelewesha huyo anayesema form four tu inatosha degree Haina maana
Kutibu mifugo ni kasemina kadogo tu sio mpaka degree hata kilimo ni kasemina kadogo tu nao udakitari tunapigwa wanaweka mda mrefu huku ukiwa na mbwembwe nyingi ndani yake unaajiliwa wewe una deal na dalili za ugonjwa na dawa zinazotibu bas imeishaUdokta wa mifugo , bachelor ya kilimo, udaktari wa binadamu,maabara bado ni muhimu ktk maisha yetu ya kimaskini Africa
Hujamuelewa mtoa mada anataka elimu inayotuwezesha kutengeneza products kupitia elimu uliyoipataElimu sio tiketi kwamba ndio umeuaga umaskini bali ni nyenzo ya kupambana na umaskini.
Sio kila elimu lazima utengeneze products...elimu nyingine ni kwa ajili ya kutoa huduma kwa watuHujamuelewa mtoa mada anataka elimu inayotuwezesha kutengeneza products kupitia elimu uliyoipata
Hilo linajulikana,,, ila ukikuta unaukubali huu msemo jishike kifua sema mimi ni mjinga sana na ntatumika na wakubwa sana mpaka nazeeka uzao wangu utakuwa maskini maana sitourithisha elimu yangu hii ya utoaji huduma ila ingekuwa elimu ya product wangerithi kizazi hadi kizaziSio kila elimu lazima utengeneze products...elimu nyingine ni kwa ajili ya kutoa huduma kwa watu
Wewe umeishia la saba??Tulikimbia umande unamaanisha tuliishia sekondari au msingi kama ni hivyo nikwambie pole ninaelimu ya darasani ya kawaida ila inaweza ikawa ila inaweza ikawa zaidi ya degree nyingi tu ikiwezekana hata ya kwako.
Ndiyo Mfano madarasa ya shule wiring za mashuleWanaojenga sasa hata sio waliosoma.
Wafanye project zao from scratch Kwa kuwa tumeona matumizi ya degree kwenye nchi za wenzetuUlitaka wafanye nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na malawiDegree zingine ni irrelevant kabisa, we bongo unasoma international relations!!!!! International relations Ili uli relate na nani ww bichwa km kocha wa yanga.
Ndio madhara ya vyuo vya Kati yaani mtu hata kuandika hawezi. Nyinyi ni mafundi mainjia Gani? Wanaanza safari ya masomo na D 4wahandisi tumekaapalee tunawachora tuu.maaamae zenu.
mlijifanya kwenda five mtatoboa mumeenda huko wengi vipanga wahesabu mkaangukia ualimu[emoji16]wasayansi sekondari
sisi tumeenda chuochakati tukachukua uhandisi chap tunakula maisha nyie kuleni chaki naukipanga wenu.
mwanao akimaliza kidatochanne achana namambo ya five mpeleke chupa chao chauhandisi alemaisha chap
Tumekubari elimu ni muhimu ila hii ya bongo ni kitapeli mbona hutaelewiHuu uzi una comments za kipumbavu sana. Yaani watu wana mawazo potofu kuhusu elimu. Hela bila elimu haiwezi leta ukombozi kwa taifa. Wazee wa Kariakoo walikuwa wana hela za kutosha ila ilibidi wamweke Nyerere kama kiongozi wao ili kupigania uhuru kwa sababu elimu hawakuwa nayo. Mtu kama Kishimba anaweza hutubia mkutano wa UN? Vijana wanakata sana tamaa.
We jamaa akili zako unazijua mwenyewei
inategemea chuochakati umeenda kujifunza nini.hakuna mhandisi anaekosa kazi.
Hizo ni basics sana aisee hata veta wanafanyaSasa kwani kazi za wiring sio kazi kwa Muhandisi wa umeme ? Wewe ulitaka afanye kazi gani ?
NakubaliWakuu degree bongo hii degree zinatumika Kwa ufasaha ni mbili tu. Ya udokta na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu yaani Zinakuwa kama useless.
Hujajibu swali nililo kuuliza. Kingine inaonekana una ufahamu mdogo sana kuhusu haya mambo.Hizo ni basics sana aisee hata veta wanafanya
Hapa sijaelewa nukta ya mzozo ni yaliyomo katika mitaala au fursa ?Mzunguko mrefu uliojazwa na irrelevant nyingi ambazo hazinamaana katika field unatumia farad sijui squence equation unafika field ni wewe na waya, switch, bolt,prize ,unazingatia live, neutral na earth wire, circuit breaker, meter wakati darasani ulicalculate mahesabu ya meter ya umeme sijui circuit breaker,,mahesabu mengine hata hayaeleweki yapo kwenye mfumo gani