Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

Umewasahau Wahandisi wa Umeme.
Mzunguko mrefu uliojazwa na irrelevant nyingi ambazo hazinamaana katika field unatumia farad sijui squence equation unafika field ni wewe na waya, switch, bolt,prize ,unazingatia live, neutral na earth wire, circuit breaker, meter wakati darasani ulicalculate mahesabu ya meter ya umeme sijui circuit breaker,,mahesabu mengine hata hayaeleweki yapo kwenye mfumo gani
 
Udokta wa mifugo , bachelor ya kilimo, udaktari wa binadamu,maabara bado ni muhimu ktk maisha yetu ya kimaskini Africa
Kutibu mifugo ni kasemina kadogo tu sio mpaka degree hata kilimo ni kasemina kadogo tu nao udakitari tunapigwa wanaweka mda mrefu huku ukiwa na mbwembwe nyingi ndani yake unaajiliwa wewe una deal na dalili za ugonjwa na dawa zinazotibu bas imeisha

Kwa mfano kwenye kilimo utashindwa kujua dawa za fangas=banco,hexaconole etc, wadudu=snocron,modurs, sijui mbolea ya kukuzia au kupandia au mifugo kuwa supermectin au multivitamin ni dawa ya nini?
Uzuri hivi vitu vyote vinakuja na description kama unashindwa bas iyo elimu yako ina mashaka sanaaa na unasimu inayoingia google tuache uvivu

Mtoa mada anataka hii elimu ituwezeshe kutengeneza sisi wenyewe haya madawa ,mbolea kwa kutumia elimu tulioipata shule
 
Sio kila elimu lazima utengeneze products...elimu nyingine ni kwa ajili ya kutoa huduma kwa watu
Hilo linajulikana,,, ila ukikuta unaukubali huu msemo jishike kifua sema mimi ni mjinga sana na ntatumika na wakubwa sana mpaka nazeeka uzao wangu utakuwa maskini maana sitourithisha elimu yangu hii ya utoaji huduma ila ingekuwa elimu ya product wangerithi kizazi hadi kizazi
 
Tulikimbia umande unamaanisha tuliishia sekondari au msingi kama ni hivyo nikwambie pole ninaelimu ya darasani ya kawaida ila inaweza ikawa ila inaweza ikawa zaidi ya degree nyingi tu ikiwezekana hata ya kwako.
Wewe umeishia la saba??
 
Fvck degree, degree ishakua ni kitu cha kawaida sana Sasa hivi kila mtu anayo kwa hio kanuni ya demand n supply inashindwa kufanya kazi sababu demand ni ndogo supply ni kubwa lazima vitu vioze vivunde vinuke
 
wahandisi tumekaapalee tunawachora tuu.maaamae zenu.
mlijifanya kwenda five mtatoboa mumeenda huko wengi vipanga wahesabu mkaangukia ualimu[emoji16]wasayansi sekondari

sisi tumeenda chuochakati tukachukua uhandisi chap tunakula maisha nyie kuleni chaki naukipanga wenu.

mwanao akimaliza kidatochanne achana namambo ya five mpeleke chupa chao chauhandisi alemaisha chap
Ndio madhara ya vyuo vya Kati yaani mtu hata kuandika hawezi. Nyinyi ni mafundi mainjia Gani? Wanaanza safari ya masomo na D 4
 
Huu uzi una comments za kipumbavu sana. Yaani watu wana mawazo potofu kuhusu elimu. Hela bila elimu haiwezi leta ukombozi kwa taifa. Wazee wa Kariakoo walikuwa wana hela za kutosha ila ilibidi wamweke Nyerere kama kiongozi wao ili kupigania uhuru kwa sababu elimu hawakuwa nayo. Mtu kama Kishimba anaweza hutubia mkutano wa UN? Vijana wanakata sana tamaa.
Tumekubari elimu ni muhimu ila hii ya bongo ni kitapeli mbona hutaelewi
 
Mzunguko mrefu uliojazwa na irrelevant nyingi ambazo hazinamaana katika field unatumia farad sijui squence equation unafika field ni wewe na waya, switch, bolt,prize ,unazingatia live, neutral na earth wire, circuit breaker, meter wakati darasani ulicalculate mahesabu ya meter ya umeme sijui circuit breaker,,mahesabu mengine hata hayaeleweki yapo kwenye mfumo gani
Hapa sijaelewa nukta ya mzozo ni yaliyomo katika mitaala au fursa ?
 
Sema mm cjawah ona sehemu watu wanapiga chabo kama university hivi kwann....😂😂😂😂.
Tena Afadhari UE Kwenye test aaah qqmk yani mtu na demu wake wamekaa yani mixer wanajadiri dah .
 
Back
Top Bottom