Seneti ya Mambo ya Nje ya Marekani yasema Serikali ya CCM lazima Iwajibishwe Kwa Matendo yake

Seneti ya Mambo ya Nje ya Marekani yasema Serikali ya CCM lazima Iwajibishwe Kwa Matendo yake

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekan kuhusu Kutathimin Uhusiano.

Ikapigwa tena kombora na Wataalamu wa HAKI za Binadamu wa Umoja wa Mataifa .

Muda huu, Seneti ya Masuala ya mambo ya Nje ya Marekani, Imepigilia Msumali mzitoooo.

PhotoGrid_Site_1764870210712.jpg
 
Nilishangaa sana kuona watu kama hao wamekaa kimya. Wachapwe mno
" Who are you?" ... sasa itafanya kazi... ni kama vile demu unamuhudia kwa mahitaji yake kwa kila kitu halafu anakuleta nyodo, lazima apewe kichapo tu hadi akili zimkae sawa.. na ndicho kinacho enda kutokea... hakuna kujimwambafai ikiwa hata ARV hatuzimudu...
 
Kuwawajibisha ccm labda walete jeshi lao wapambane wawatoe ..otherwise ni maneno TU Wala hayana athari yeyote
 
Back
Top Bottom