Yoso
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,841
- 3,331
KMMAKO unakataa nini ?Pole sana!! Utapona kichaa hicho!
KMMAKO unakataa nini ?Pole sana!! Utapona kichaa hicho!
😁 😁 😁 simba kageuka swalaMachawa wameukimbia huu uzi hadi vumbi inaonekana.
Ndukii!
Sasa wale vibaka walikuwa wanachoma magari na kuiba masuper market ...shaba ilikuwa halali Yao ..Muumini asiyekemea mauwaji utekaji huko Maka na Madina Huwa mnaenda kujifunza KUKATA mashingo watu?
Na ataadabishwa kama mtoto.😁 😁 😁 simba kageuka swala
Sawa KakaAaah mkuu me ni mpenda haki mno.
Sifurahishwi na vurugu
😀😀😀😀Wakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekani
Huyo mkoloni ***** zake yeye na wazozo wake.Wakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekan kuhusu Kutathimin Uhusiano.
Ikapigwa tena kombora na Wataalamu wa HAKI za Binadamu wa Umoja wa Mataifa .
Muda huu, Seneti ya Masuala ya mambo ya Nje ya Marekani, Imepigilia Msumali mzitoooo.
View attachment 3511337
Umeandika nini hapa!? Yaani mtu aue raia maelfu na atoke kujisifu kuwa nilijua useme wazungu wamuache tu,ok unasema wazungu tuwache basi.Huyo mkoloni ***** zake yeye na wazozo wake.
Akamuajibishe mzazi wake wa kike kumzaa bila kumjua babake.
Nyie waafrika mnaobabaishwa na wakoloni huo utumwa wa akili hauto malizika mpk siku mnazikwa
Sasa haya tuseme watawajibisha. Kipi watafanya,? Wataleta ndege za vita kurinlpua TZ?
Au watatuma wale maaskari mashoga kuja kumkamata Rais hapa .
We unadhani wakizuia hio misaada ya kikuda wa kwanza kusota atakuwa RAIS? Au wewe muuza Socks pale mbagala rangi Tatu?
Acheni kuwashubukia wazungu. Mtatuletea ukimwi tena hapa nchini.
Bloody cucumber
Mbona huwasemi walio iba vitu na pesa kwa GWAJIMA kanisani ewe mpumbacuSasa wale vibaka walikuwa wanachoma magari na kuiba masuper market ...shaba ilikuwa halali Yao ..
Viongozi wote wa kisiasa duniani yakitokea mauwaji ya aina yyt lzm wakemee.Umeandika nini hapa!? Yaani mtu aue raia maelfu na atoke kujisifu kuwa nilijua useme wazungu wamuache tu,ok unasema wazungu tuwache basi.
Mbona hata wasouth African wamelaumu mauaji ya Samia,vipi Ghana,si nao wamelaani mauaji ya mama,achilia mbali Au na sadec
Huyu Samia hafai,atakipata alichokitafuta,, ICC ipo mbele yaje
Viongozi wote wa kisiasa duniani yakitokea mauwaji ya aina yyt lzm wakemee.
Hio ni kujikosha kwa watu wao.
Km hao Viongozi wa Africa wako serious na kauli zao kwanini wasichukue hatua kama kufunga Balozi zao hapa? Kwanini mpk leo wanaalikwa na kuja hapo ikulu kula bata za huyo huyo wanaedai kaua?
We kwa akili zako umeona kiongozi gani wa Africa kachukua hatua yyt ya kukemea kilichotokea hapa TZ? Zaidi ya radio kifua?
Nyie watoto wa juzi siasa za dunia hii hamzijui wala kuzielewa.
ICC makende ya baba zao.
Hakuna lolote watafanya.
Wameshindwa kumdaka kikwete na mkapa kwa ufisadi wao watakuja mkamata Mama Samia aliye pambana na MAJAMBAZI?
Get some knowledge young blood. It's not too late
Wewe kama swala la Samia muuaji kupelekewa ICC linakuuma nenda kafungwe naye ICCViongozi wote wa kisiasa duniani yakitokea mauwaji ya aina yyt lzm wakemee.
Hio ni kujikosha kwa watu wao.
Km hao Viongozi wa Africa wako serious na kauli zao kwanini wasichukue hatua kama kufunga Balozi zao hapa? Kwanini mpk leo wanaalikwa na kuja hapo ikulu kula bata za huyo huyo wanaedai kaua?
We kwa akili zako umeona kiongozi gani wa Africa kachukua hatua yyt ya kukemea kilichotokea hapa TZ? Zaidi ya radio kifua?
Nyie watoto wa juzi siasa za dunia hii hamzijui wala kuzielewa.
ICC makende ya baba zao.
Hakuna lolote watafanya.
Wameshindwa kumdaka kikwete na mkapa kwa ufisadi wao watakuja mkamata Mama Samia aliye pambana na MAJAMBAZI?
Get some knowledge young blood. It's not too late
Utaombaje uzima wakato una mpango wa kwenda kuvunja maduka ya kina maruo na juma ?Wewe kama swala la Samia muuaji kupelekewa ICC linakuuma nenda kafungwe naye ICC
Nakwambia pia hii awamu haimalizi,tuombe uzima
,Utaombaje uzima wakato una mpango wa kwenda kuvunja maduka ya kina maruo na juma ?
Yaani mkavunje maduka.
Muue askari. Mchome miundo minutes kisha askari akikupiga chuma cha chemba moyo unakimbilia kwa wazungu.
🤣🤣
We unadhani wazungu hawakuona mlichofanya?
Akili kizibo mtihani sana.
Nakushauri tu.
Ukitaka huo uzima KAA NDANI.
Safari hii limeingia JESHI.
pita mitaani ukaone.
Wiki 2 zijazo mtaanza kulaani JESHI .
Mungu wetu haendi Rikizo.
Damu za ndugu, Rafk na jamaa haziwez kwenda bure.
Aluta continua. Viva viva to the World
Ccm ingefanya hiv kidogo wangejinasua,sijui uko hawana watu wa pla,hapa ilikuwa kutoa kafara kadhaaa,baada ya mda mnawapiga chini,mambo kwenye kamera mzigo umeisha,sasa wao wanakazana who are you,hii itaenda kweli ki mzaha mzaha.Sasa serikali hata kama ilitoa maagizo ya kutumia nguvu inayohitajika kama raisi alivyosema akiongea na wazee kwanini isianze na kuwasaliti baadhi ya watendaji? Kwani lazima walindwe wote?
Wakipekua pekua lazima watakutana na wale wanaofanyaga maagizo kwa sifa za ziada zisizo na ulazima.
Hawa pamoja na kupokea maagizo wasalitiwe wawe wa kwanza kutolewa kafara washtakiwe mahakamani kama watuhumiwa wa mauaji.
Badala ya kuwalinda wote, sorting ifanyike wengine watolewe kafara kuwa ni watuhumiwa angalau labda serikali itaonekana kuna jambo inafanya. Mfano, wale waliouliwa ndani majumbani, inamaana askari waliotumwa hayo maeneo ni watuhumiwa namba 1 sababu kama mtu yupo ndani, hana silaha kuwa anataka kukudhuru, hakuna mali anayoharibu kwanini umpige risasi?