Ubaya ubwelaMambo nipendayo mimi
Hahahaha hadi mnaokoteza tweets za senators? Unadhani hii itasaidia?Wakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekan kuhusu Kutathimin Uhusiano.
Ikapigwa tena kombora na Wataalamu wa HAKI za Binadamu wa Umoja wa Mataifa .
Muda huu, Seneti ya Masuala ya mambo ya Nje ya Marekani, Imepigilia Msumali mzitoooo.
View attachment 3511337
Pole sana!! Utapona kichaa hicho!Walokushauri Uue watu Oktoba 29, kwamba Ua tu, sisi ndio viongozi wa juu wa Majeshi.
Imekula kwako mamaee
Wakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekan kuhusu Kutathimin Uhusiano.
Ikapigwa tena kombora na Wataalamu wa HAKI za Binadamu wa Umoja wa Mataifa .
Muda huu, Seneti ya Masuala ya mambo ya Nje ya Marekani, Imepigilia Msumali mzitoooo.
View attachment 3511337
Here we go againWakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekan kuhusu Kutathimin Uhusiano.
Ikapigwa tena kombora na Wataalamu wa HAKI za Binadamu wa Umoja wa Mataifa .
Muda huu, Seneti ya Masuala ya mambo ya Nje ya Marekani, Imepigilia Msumali mzitoooo.
View attachment 3511337
Ikishawashika njaa mnakuwa Wanyama mnaanza kuumizana wenyewe kwa wenyewe.Kuwawajibisha ccm labda walete jeshi lao wapambane wawatoe ..otherwise ni maneno TU Wala hayana athari yeyote
Hilo Bichwa lina matope ? Hao seneta ndio hao hao waloitaka State Department ichukue hatua na wamechukua hatua kweli.Hahahaha hadi mnaokoteza tweets za senators? Unadhani hii itasaidia?
Umeonaeeeh?Chid Benz aliwahi kusema viongozi waboreshe magereza maana ata wao siku MOJA wanaweza kaamo, tukasema aahhhhhhh madaw ya kulevya yamemlevya kumbe mwamba ALIKUA mbele ya muda,

Guys Guys Mmarekani hawezi kutugusa! Maana sisi tumeendelea kuliko wao!Hawawezi Fanya kitu hao wanaigopa Sana Tanzania
Mkuu unapenda shari😂😂😂Mambo nipendayo mimi