secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Machawa wameukimbia huu uzi hadi vumbi inaonekana.
Ndukii!
Ndukii!
Mkuu Kila kukicha afdhali ya janaUmeonaeeeh?
Hivi nyinyi hamumtaki Samia TU au ccm...maana mnatuchanganya kama ni SAMIA tu hapo ndo udini unaingia..wale masheikh hawatakubali muumin wao atoke kirahisi hivyo..Yote haya kisa bibi mmoja na familia yake..Kuna usalama wa taifa kweli? National interests za watu milioni sitini ziharibiwe kisa ka-ukoo ka Ameir.. nachoka mimi
Siku nyingi sijamsikia huyu.Here we go againView attachment 3511348
CCM Iko pembeniz tunadeal na mtu alietoa amri ya watu kuuawa October 29Hivi nyinyi hamumtaki Samia TU au ccm...maana mnatuchanganya kama ni SAMIA tu hapo ndo udini unaingia..wale masheikh hawatakubali muumin wao atoke kirahisi hivyo..
Kwa Africa haina ulazima huo, ukiwapiga vikwazo wa kiuchumi, na kufreeze assets za wahusika umemaliza kazi maana watageukana tu, hawawezi wapoteze mali zao kwaajili ya kikundi cha wachache.Kuwawajibisha ccm labda walete jeshi lao wapambane wawatoe ..otherwise ni maneno TU Wala hayana athari yeyote
Hapo hamtoboi nawahakikishia..CCM Iko pembeniz tunadeal na mtu alietoa amri ya watu kuuawa October 29
Napenda hakiMkuu unapenda shari😂😂😂
Muumini asiyekemea mauwaji utekaji huko Maka na Madina Huwa mnaenda kujifunza KUKATA mashingo watu?Hivi nyinyi hamumtaki Samia TU au ccm...maana mnatuchanganya kama ni SAMIA tu hapo ndo udini unaingia..wale masheikh hawatakubali muumin wao atoke kirahisi hivyo..
Mwongo wewe mpenda vurugu tuNapenda haki
Nafutahia wauaji wawajibishwe
Wajumbe wote wa Kamati Kuu ya CCM, Kamati ya Uongozi wa Bunge na members wote wa Baraza la Mawaziri wapigwe sanctions takatifu mpaka vichwa vyao vikae sawa! K’manina zao!Wakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekan kuhusu Kutathimin Uhusiano.
Ikapigwa tena kombora na Wataalamu wa HAKI za Binadamu wa Umoja wa Mataifa .
Muda huu, Seneti ya Masuala ya mambo ya Nje ya Marekani, Imepigilia Msumali mzitoooo.
View attachment 3511337
And We Tanzanian we promise we will fight for Our nation and that who ever will touch the territory of Our loved Country, we will fight him like people has nothing to Loose, USA watch your stepsTanzania will allow you to fire the first shot, but it will never allow you to fire the second one; it will make sure to strike you in a way that causes major consequences for the United States.
Aaah mkuu me ni mpenda haki mno.Mwongo wewe mpenda vurugu tu