Seneti ya Mambo ya Nje ya Marekani yasema Serikali ya CCM lazima Iwajibishwe Kwa Matendo yake

Seneti ya Mambo ya Nje ya Marekani yasema Serikali ya CCM lazima Iwajibishwe Kwa Matendo yake

😅😅😅 mkuu kwani elimu ya Pakistan Ina shida gani🙌🙌
 
Ccm ingefanya hiv kidogo wangejinasua,sijui uko hawana watu wa pla,hapa ilikuwa kutoa kafara kadhaaa,baada ya mda mnawapiga chini,mambo kwenye kamera mzigo umeisha,sasa wao wanakazana who are you,hii itaenda kweli ki mzaha mzaha.
Kabisa mkuu. Unachukua video zilizorushwa mitandaoni, unapekua pekua lazima utakutana na waliofanya hiyo kazi kwa sifa badala ya weledi unawatoa kafara kwanza kwa kuwafungulia mashtaka kama first step huku ukijipanga.
 
Waliokaa ndani asilimia 99 ndo waliuliwa ,ni asilimia Moja tu ya waandamanaji waliuliwa na Samia.

By the way siogopi kifo ,na D9 natoka ,tukutane Field,sinunui uoga Mimi

Samia the butcher

,
🤣🤣🤣
We mtoto acha kijidanganya nafsi yako.
Km wewe kweli huogopi anza kwa kuweka jina lako la kweli hapa au picha yako.
Nyie vitoto vya juzi mnadanganya watoto wenzenu kuwa hamna uoga halafu hakuna hata mmoja anatoka nje.
Huna lolote.
Toka nje uone
Safari hii sio polisi tena
Ni JSSHI na Sisi wazalendo wa kweli.

Njooni mchome miundo mbinu muone
 
Wakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekan kuhusu Kutathimin Uhusiano.

Ikapigwa tena kombora na Wataalamu wa HAKI za Binadamu wa Umoja wa Mataifa .

Muda huu, Seneti ya Masuala ya mambo ya Nje ya Marekani, Imepigilia Msumali mzitoooo.

View attachment 3511337
Utawasubiri sana wagalatia wa wakizungu wanaokuona wewe ni nusu mtu nyani aliechangamka
 
TOKA MAKTABA

Nyerere asema mataifa makubwa yana uwezo wa kutia mbinyo ili mabadiliko yapatikane


View: https://m.youtube.com/watch?v=d3LQ5RrYga4
Mwalimu Nyerere anatambulika kama Mwanamajumui na Baba wa Ukombozi wa Nchi za kusini mwa Afrika na Afrika kwa ujumla, jitihada zake katika kuzisaidia nchi za kusini kutoka kwa ukoloni ndizo zilizomsaidia sifa hiyo, msikilize hapa akihutubua wananchi nchini Tanzania mwaka 1964 kuhusu juhudi zake katika kuzisaidia Angola na Msumbiji kujinasua katika ukoloni wa Wareno...
 
Hivi nyinyi hamumtaki Samia TU au ccm...maana mnatuchanganya kama ni SAMIA tu hapo ndo udini unaingia..wale masheikh hawatakubali muumin wao atoke kirahisi hivyo..
Kwamba kumuwajibisha huyo samuya kwa genocide aliyoifanya ni udini?

Kwa hiyo kumbe raisi akiwa muislamu basi anaruhusiwa kuua maelfu ya watu kwa sababu zake binafsi bila kuchukuliwa hatua sio?

Na hao mashekh ni wakina nani hasa mpaka wasikubali huyu muhusika wa mauaji achukuliwe hatua? Kwamba tuwaogope eti nchi haitakalika kisa muislam mwenzao kaachia uraisi?

Sasa ngoja litokee hilo halafu tuone watafanya nini.

Mnalalamika udini na wakati nyie watetezi wa huyu muuaji sababu zenu za kumkingia kifua hazina mantiki yoyote zaidi ya mahaba yenu ya kidini kwake.

Eti "mashekh hawatakubali muumini wao" eboo.. kwa hiyo hao mashekh ndio wanaamua hatima ya uraisi hata kama tayari ameshapoteza sifa? Spare me with their stark ignorance.
 
Back
Top Bottom