Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Who are they???Wakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekan kuhusu Kutathimin Uhusiano.
Ikapigwa tena kombora na Wataalamu wa HAKI za Binadamu wa Umoja wa Mataifa .
Muda huu, Seneti ya Masuala ya mambo ya Nje ya Marekani, Imepigilia Msumali mzitoooo.
View attachment 3511337
Utaelewa tuWho are they???
Utaelewa tu
" Who are you?" ... sasa itafanya kazi... ni kama vile demu unamuhudia kwa mahitaji yake kwa kila kitu halafu anakuleta nyodo, lazima apewe kichapo tu hadi akili zimkae sawa.. na ndicho kinacho enda kutokea... hakuna kujimwambafai ikiwa hata ARV hatuzimudu...Nilishangaa sana kuona watu kama hao wamekaa kimya. Wachapwe mno
Hawawezi Fanya kitu hao wanaigopa Sana Tanzania
Wanao kufanya unaenda chooniWho are they???
Kalale kaka pombe isha kuchanganyaHawawezi Fanya kitu hao wanaigopa Sana Tanzania