Seneti ya Mambo ya Nje ya Marekani yasema Serikali ya CCM lazima Iwajibishwe Kwa Matendo yake

Yote haya kisa bibi mmoja na familia yake..Kuna usalama wa taifa kweli? National interests za watu milioni sitini ziharibiwe kisa ka-ukoo ka Ameir.. nachoka mimi
Hivi nyinyi hamumtaki Samia TU au ccm...maana mnatuchanganya kama ni SAMIA tu hapo ndo udini unaingia..wale masheikh hawatakubali muumin wao atoke kirahisi hivyo..
 
Hivi nyinyi hamumtaki Samia TU au ccm...maana mnatuchanganya kama ni SAMIA tu hapo ndo udini unaingia..wale masheikh hawatakubali muumin wao atoke kirahisi hivyo..
CCM Iko pembeniz tunadeal na mtu alietoa amri ya watu kuuawa October 29
 
Kuwawajibisha ccm labda walete jeshi lao wapambane wawatoe ..otherwise ni maneno TU Wala hayana athari yeyote
Kwa Africa haina ulazima huo, ukiwapiga vikwazo wa kiuchumi, na kufreeze assets za wahusika umemaliza kazi maana watageukana tu, hawawezi wapoteze mali zao kwaajili ya kikundi cha wachache.
 
Swali kuu katika jumuiya ya kimataifa na pia kutoka kwa mamilioni ya watanzania wenye fikra huru ya kujiuliza

 
Hivi nyinyi hamumtaki Samia TU au ccm...maana mnatuchanganya kama ni SAMIA tu hapo ndo udini unaingia..wale masheikh hawatakubali muumin wao atoke kirahisi hivyo..
Muumini asiyekemea mauwaji utekaji huko Maka na Madina Huwa mnaenda kujifunza KUKATA mashingo watu?
 
Tanzania will allow you to fire the first shot, but it will never allow you to fire the second one; it will make sure to strike you in a way that causes major consequences for the United States.
 
Wajumbe wote wa Kamati Kuu ya CCM, Kamati ya Uongozi wa Bunge na members wote wa Baraza la Mawaziri wapigwe sanctions takatifu mpaka vichwa vyao vikae sawa! K’manina zao!
 
Tanzania will allow you to fire the first shot, but it will never allow you to fire the second one; it will make sure to strike you in a way that causes major consequences for the United States.
And We Tanzanian we promise we will fight for Our nation and that who ever will touch the territory of Our loved Country, we will fight him like people has nothing to Loose, USA watch your steps
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…