Seneti ya Mambo ya Nje ya Marekani yasema Serikali ya CCM lazima Iwajibishwe Kwa Matendo yake

Muumini asiyekemea mauwaji utekaji huko Maka na Madina Huwa mnaenda kujifunza KUKATA mashingo watu?
Sasa wale vibaka walikuwa wanachoma magari na kuiba masuper market ...shaba ilikuwa halali Yao ..
 
Kwenye hiyo statement zingatieni neno rulling party MUST be held accountable!

Hapa CCM wajiandae kisaiklojia kama wanaweza wamtose tu mama mapema kabla mambo hayajawa mengi
 
Mtalialia sana wagalatia
Lakini hakuna mzungu atakuja kuwasaidia
Jichanganyeni tena d9, mpigwe na kitu kizito zaidi ya d29
Maana sasa mnasubiriwa
Tumeanza kuona mpaka mada za kuomba NATO sijui Trump awalinde, kweli hii nchi imejaa nyumbu...
 
Huyo mkoloni ***** zake yeye na wazozo wake.
Akamuajibishe mzazi wake wa kike kumzaa bila kumjua babake.

Nyie waafrika mnaobabaishwa na wakoloni huo utumwa wa akili hauto malizika mpk siku mnazikwa

Sasa haya tuseme watawajibisha. Kipi watafanya,? Wataleta ndege za vita kurinlpua TZ?
Au watatuma wale maaskari mashoga kuja kumkamata Rais hapa .

We unadhani wakizuia hio misaada ya kikuda wa kwanza kusota atakuwa RAIS? Au wewe muuza Socks pale mbagala rangi Tatu?

Acheni kuwashubukia wazungu. Mtatuletea ukimwi tena hapa nchini.
Bloody cucumber
 
Umeandika nini hapa!? Yaani mtu aue raia maelfu na atoke kujisifu kuwa nilijua useme wazungu wamuache tu,ok unasema wazungu tuwache basi.

Mbona hata wasouth African wamelaumu mauaji ya Samia,vipi Ghana,si nao wamelaani mauaji ya mama,achilia mbali Au na sadec

Huyu Samia hafai,atakipata alichokitafuta,, ICC ipo mbele yaje
 
Viongozi wote wa kisiasa duniani yakitokea mauwaji ya aina yyt lzm wakemee.
Hio ni kujikosha kwa watu wao.
Km hao Viongozi wa Africa wako serious na kauli zao kwanini wasichukue hatua kama kufunga Balozi zao hapa? Kwanini mpk leo wanaalikwa na kuja hapo ikulu kula bata za huyo huyo wanaedai kaua?

We kwa akili zako umeona kiongozi gani wa Africa kachukua hatua yyt ya kukemea kilichotokea hapa TZ? Zaidi ya radio kifua?
Nyie watoto wa juzi siasa za dunia hii hamzijui wala kuzielewa.
ICC makende ya baba zao.
Hakuna lolote watafanya.
Wameshindwa kumdaka kikwete na mkapa kwa ufisadi wao watakuja mkamata Mama Samia aliye pambana na MAJAMBAZI?

Get some knowledge young blood. It's not too late
 
Wewe kama swala la Samia muuaji kupelekewa ICC linakuuma nenda kafungwe naye ICC

Nakwambia pia hii awamu haimalizi,tuombe uzima
 
Wewe kama swala la Samia muuaji kupelekewa ICC linakuuma nenda kafungwe naye ICC

Nakwambia pia hii awamu haimalizi,tuombe uzima
Utaombaje uzima wakato una mpango wa kwenda kuvunja maduka ya kina maruo na juma ?

Yaani mkavunje maduka.
Muue askari. Mchome miundo minutes kisha askari akikupiga chuma cha chemba moyo unakimbilia kwa wazungu.
🤣🤣
We unadhani wazungu hawakuona mlichofanya?
Akili kizibo mtihani sana.
Nakushauri tu.
Ukitaka huo uzima KAA NDANI.
Safari hii limeingia JESHI.
pita mitaani ukaone.

Wiki 2 zijazo mtaanza kulaani JESHI .
 
Mmarekani ukiingia kwenye 18 zake ni ngumu kuchomoka.Ni Muda.Tumuombee boss wetu lakini mambo magumu.
 
Waliokaa ndani asilimia 99 ndo waliuliwa ,ni asilimia Moja tu ya waandamanaji waliuliwa na Samia.

By the way siogopi kifo ,na D9 natoka ,tukutane Field,sinunui uoga Mimi

Samia the butcher
,
 
Ccm ingefanya hiv kidogo wangejinasua,sijui uko hawana watu wa pla,hapa ilikuwa kutoa kafara kadhaaa,baada ya mda mnawapiga chini,mambo kwenye kamera mzigo umeisha,sasa wao wanakazana who are you,hii itaenda kweli ki mzaha mzaha.
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…