Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

Wanaponiacha hoi hawa jamaa ni pale wanatoa misaada worldwide huku wakiwa na raia wao homeless wengi tu
Ni ajabu kabisa! Ni tabia mbaya ya ubinafsi na kujionesha tu mbele ya watu. Jitosheleze na kutunza kwanza nyumbani kwako kabla ya kuwasaidia wengine. Huo ndio umwamba unaofaa - kuijali familia yako kwanza.
 
Kipindi Pak anafanya mapinduzi kuondoa viongozi wala rushwa South Korea, miaka ile North Korea iko developed ina viwanda vingi na huku South Korea uchumi wake ni wa msaada kutoka Marekani. Zaidi ya nusu ya fedha za kigeni za South Korea ilikuwa ni msaada wa Marekani, kuna mwaka 80% ya fedha za kigeni ni msaada wa Marekani.

General Pak akafanya mapinduzi baada ya North Korea kutumia utajiri wao na maendeleo yao kuitishia South kuivamia huku wakidai watawapa maisha mazuri. Kipindi kile hadi Marekani ikaamua ikubali matumizi ya hela iliyotoa kwa serikali ya South Korea endapo tu rushwa na ubadhirifi haujazidi 10% ya fedha. Yani kuzuia wizi ilikuwa haiwezekani kabisa kabisa, Marekani na ujanja wote ilijitahidi kupunguza.

Ila Asians ni tofauti sana na Waafrika, General Pak alipofanya mapinduzi alitumia tafiti na mipango iliyoandaliwa na serikali ya kiraia wala rushwa. Mipango mizuri sana ila hawatekelezi. Alafu Pak akafunga matajiri wote akiwaita wezi, muda mfupi akagundua sio wezi ila wanaenda na mfumo ndio akawafungua kina Samsung. Chaebols nyingine kama Hyundai na LG zikasaidiwa na serikali. Alafu akapeleka Wakorea wengi sana nje kusoma na akabadili mfumo wa umiliki wa ardhi. Miaka michache tu South ikaizidi North ambao hawa mwanzoni walibebwa na uwepo wa resources hasa coal.
 
mpk sasa umewasaidia nin wapalestina mpk uanze kujaji misaada ya wenzio ?
 
kwamba Urusi alisaidiwa kama Burundi tu ? wavaa kobaz wamekusikia kwel ?
 
Wanaponiacha hoi hawa jamaa ni pale wanatoa misaada worldwide huku wakiwa na raia wao homeless wengi tu
homelea wengi ni ndugu zenu wanaotoka amerika ya kusini na afrika pamoja na Asia bila kusahau waharifu waliokimbia Ulaya wanaenda jificha USA hawa ndo wanaichafua ile nchi
 
Hapo ni silaha zimepelekwa
 
Ni ajabu kabisa! Ni tabia mbaya ya ubinafsi na kujionesha tu mbele ya watu. Jitosheleze na kutunza kwanza nyumbani kwako kabla ya kuwasaidia wengine. Huo ndio umwamba unaofaa - kuijali familia yako kwanza.
homeles wengi ni ndugu zenu wanaokimbilia USA bila mipango , ndio maana wanawaacha mitaan , China amedhibiti huo ujinga
 
Wanatoa mfuko wa kushoto wanaingiza mfuko wa kulia.
 
Ni ajabu kabisa! Ni tabia mbaya ya ubinafsi na kujionesha tu mbele ya watu. Jitosheleze na kutunza kwanza nyumbani kwako kabla ya kuwasaidia wengine. Huo ndio umwamba unaofaa - kuijali familia yako kwanza.
Una hoja nzuri mkuu.....

Ila bado sio vibaya kusaidia wenye hali mbaya zaidi yao.

majimbo na majiji ya Marekani yanaweza vyema kulimudu hilo bila msaada wa Serikali KUU, tofauti na wanaowasaidia.
 
Jamaa ni hatari sana hawa wa Asia hata madikteta wao kuna namna unaona wanavyo waza ni tofauti pamoja ya kwamba kuna muda wanapata madikteta vichaa haswa.

Mfano ukiondoa ujinga ujinga wa kina familia ya kina Kim ila kuna kitu kidogo wanakosa nacho kujifungua kimataifa na kuanza kushirikiana na mataifa mbalimbali tena NK kwa level wakijifungua sidhani kama ishi ya viwanda itakuwa vikwazo kwao.

Licha ya kwamba jamaa wametengwa haswa ila wanajitahidi ukilinganisha hata na sisi ambao hatuja tengwa na yoyote

Nina hakika NK ametuacha sisi katika maeneo mengi sana pamoja na upuuzi puuzi wa familia ya Kim lakini Asians wapo smart s
 
Wanaponiacha hoi hawa jamaa ni pale wanatoa misaada worldwide huku wakiwa na raia wao homeless wengi tu
Ulitaka wafanye nini kuhusu homeless??
 
Kupunguza nguvu ya Uchumi wa Nchi jirani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…