Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

Wanaponiacha hoi hawa jamaa ni pale wanatoa misaada worldwide huku wakiwa na raia wao homeless wengi tu
Samia alikuwa ananunua magoli ya kina Mayele huku watoto hawana vyumba vya madarasa wala madawati
 
Labda kama hujawahi kuishi Marekani, katika nchi kama Marekani mtu kuwa homeless sio kitu rahisi hata kidogo kwa kuzingatia fursa kibao zilizopo katika nchi hiyo.

Ukiwa nchini Marekani jaribu kuwacheki vizuri na kwa umakini sana hao wanaoitwa (Homeless People) utakuta karibu wote ni watu walioathirika na madawa ya kulevya.

Pamoja na serikali kujitahidi kuwaweka kwenye vituo maalum ili wafanyiwe rehabilitation ambayo ni zoezi ghali mno lakini hao watu bado watatoroka na kwenda mitaani kuwa ombaomba ili tu wapate pesa za kununulia hayo mihadarati. Yaani hao watu ni shida na kero kwa jamii huko.

Katika nchi kama za Iran na uarabuni watu kama hao ni vigumu kupatikana kwa sababu ukipatikana tu na mihadarati unauawa mara moja na hata sio lazma itangazwe.
 
Back
Top Bottom