Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

Kupanga ni Kuchagua!!,nadhani ungekuwa wewe ungetangaza Ikulu, Lakini wenzio wamewaza tofauti!!,tuyaheshimu mawazo ya wenzetu!!
 
Hawana cha kufanya, Serikali nikama mtu asiye na kazi. SS angekuwa bize, kazi ya kutangaza angeachiwa waziri husika tu, tena ingekuwa wizarani.
 
Yanii umeongea ukweli mchungu ufisadi ni kitu kibaya sanaa
 
Wasani gani walikuwepo hapo wakitumbuiza

Ova
 
Tafuta hela wewe tafuta pesa
 
Wanaume tuendelee kupiga mashine.... hizi xy chromosomes naona zinakosa balansi...
 
Binafsi sina maoni juu ya Matokeo ya Sensa 2022
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…