imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Pia lisingekosa wanung'unikaji.lingeweza kufanyika ikulu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia lisingekosa wanung'unikaji.lingeweza kufanyika ikulu tu
Fatilia utajuaWe jamaa muongo na mpotoshaji
Lagos ni ya 2 Nigeria kwa watu
Ya kwanza ni Kano
Duniania ya Kwanza ni Tokyo na watu 37mil
Yanii umeongea ukweli mchungu ufisadi ni kitu kibaya sanaaNaamini kutakuwa na takwimu sahihi kwa maendeleo na mgawanyo sahihi wa keki ya taifa. Kipindi cha mwendazake si ajabu takwimu zingepikwa ili tu chattel ionekane ina watu wengi. Ili iwe mkoa na hatimaye jiji.. (Apumzike panapo mstahili)
PS
Mkoa kama wa Mbeya, una wakazi wengi, una changia Pato la serikali kwa kiasi kikubwa. Ila hamna barabara "double road"
Miundombinu duni, mji haujapangika, ardhi wana pima viwanja halafu wanapotea.. Umeme, maji, barabara kazi kwa wanunuzi kukarabati, Rejea viwanja vya iduda, mbeya peak, isyesye.
Umeishia darasa la ngapi!!?Hivi namba kamili tumeshafika wangapi tuachane na maneno ya tuko takribani watu.
Tafuta hela wewe tafuta pesaSiko tayari kuishi kwa kudhulumu wengine, maana ya kuwa mtumishi wa umma ni kuhakikisha unatatua matatizo ya umma na sio kufuja mali za umma.
Kuna watu wengi wanavuja jasho usiku na mchana na kulipa makodi kila mahala ili wananchi wengi wapate huduma bora na kwa wakati.
Ni dhambi kubwa sana ukiwa umepewa dhamana na wewe kuitumia hiyo dhamana kujinufaisha na sio kutumika kwa manufaa ya waliokupa dhamana.
Kuwa mwajiriwa kwenye ofisi za umma maana yake umepewa dhamana kutumikia umma na sio kuukandamiza umma kwa kutumia hizo nafasi.
Kwakweli ni kazi nzuri. Takwimu sahihi ni mwanzo mzuri wakuwa na maendeleo chanyaKazi Nzuri@ Sasa iwekezwe kwenye kuwaletea Wananchi maendeleo!
NakujaWanawake tupo wengi, kuoa wake zaidi ya wawili iwe amri iingie kwenye katiba
Kuna watoto wawili wamezaliwa jana hapa kitaaHivi namba kamili tumeshafika wangapi tuachane na maneno ya tuko takribani watu.