Si kweli, Sensa ya 2012 nilipata kibarua NBS, ilikuwa wiki 2. Siku kadhaa (zaidi ya wiki) za kujaza madodoso field i.e mnaita kuhesabiwa, then baada ya kumaliza siku za field karani anakaa sehemu kama siku 3 kufunga hesabu zake, then msimamizi wa makarani (huyu alisimamia kama makarani 10) anatumia siku kadhaa ku-compile ripoti za makarani wake na kuziwasilisha Katani. Kwenye kata wanazituma jimboni, jimbo to H/shauri....Wanabodi,
Makala ya leo ni Swali
Sensa za nyuma tulihesabiwa Ki Analogia na ilichukua Siku 1 tuu, sasa tunahesabiana Kidigitali inachukua Siku 7!, Could There Be Something Wrong Somewhere?!. Leo ni siku ya 6, kuna kaya hazijafikiwa, kesho ni siku ya 7 ambayo ndio ya mwisho, jee kaya zote zilizobakia zitafikiwa?, Je ambazo hawajafikiwa, mpaka kesho, jee watafikiwa, jee watahesabiwa au ikibidi kuongeza siku moja au mbili, tuongeze wote tufikiwe, wote tuhesabiwe?!
View attachment 2336973View attachment 2336974
Paskali
Hii ya sasa kila kitu kinakamilika kila jioni tena kwa dk 1 tu.