Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Pascal Mayalla, nikuite kwa jina lako kabisa ndugu yangu! Kwani jibu hulioni na liko wazi kabisa?
Serikali hii ya CCM imefika mwisho na haiwezi tena kufanya jambo lolote kwa ufanisi.
Kwa kawaida jambo lolote kwa watu makini, kama alilifanya siku za nyuma akirudia leo huwa anakuwa bora zaidi maana anarekebisha makosa aliyoona na jambo linakuwa zuri zaidi.
Sisi tumeanza kuwa na viongozi waongo waongo tena bila aibu, wapenda sifa kupindukia na wabinafsi sana.
Fatilia utaona, wanaharibu lakini badala ya kukubali ukosoaji wao wanadangaya na ikibidi wanatumia nguvu usiku kuita mchana kama vile sisi ni wajinga.
Leo unaambiwa sensa imegharimu kama billion 650 na tunategemewa kuwa Watanzania milioni 64 hivyo kila Mtanzania amegharamia approximately milioni 10 ili data zake zipatikane. Wendawazimu usio aibu!