Sensa: Kianalogia siku 1, kidigitali siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Kesho mwisho! Je, ambao bado hawajafikiwa watahesabiwa?!

Sensa: Kianalogia siku 1, kidigitali siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Kesho mwisho! Je, ambao bado hawajafikiwa watahesabiwa?!

Pascal Mayalla, nikuite kwa jina lako kabisa ndugu yangu! Kwani jibu hulioni na liko wazi kabisa?
Serikali hii ya CCM imefika mwisho na haiwezi tena kufanya jambo lolote kwa ufanisi.
Kwa kawaida jambo lolote kwa watu makini, kama alilifanya siku za nyuma akirudia leo huwa anakuwa bora zaidi maana anarekebisha makosa aliyoona na jambo linakuwa zuri zaidi.
Sisi tumeanza kuwa na viongozi waongo waongo tena bila aibu, wapenda sifa kupindukia na wabinafsi sana.
Fatilia utaona, wanaharibu lakini badala ya kukubali ukosoaji wao wanadangaya na ikibidi wanatumia nguvu usiku kuita mchana kama vile sisi ni wajinga.
Leo unaambiwa sensa imegharimu kama billion 650 na tunategemewa kuwa Watanzania milioni 64 hivyo kila Mtanzania amegharamia approximately milioni 10 ili data zake zipatikane. Wendawazimu usio aibu!
 
Unakuta mtu anatoka hapo alipolala hiyo tarehe 23, anasafiri kwenda mji mwingine kwenye kaya ambayo walishahesabiwa. Nadhani kuna udhaifu mkubwa sana kwenye hili zoezi. Walipaswa kuwa na information chache ili zoezi lifanyike siku moja. Nina uhakika watu wengi hawatahesabiwa.
Zoezi halikuwa kinahitaji nguvu kubwa, ila akili kubwa. Leo huwezi kukusanya data kwa mfumo huu ukafanikiwa ni ngumu sana. Zoezi walikuwa wanamaliza mabarozi na wajumbe wa nyumba kumi tena wangepata taarifa zilizo sahihi karibia asilimia 90%. Wangewapa uwezo na ku build IcT office na watenda kazi wawili watatu wa kuingiza taarifa kutoka katika hayo mashina kwasababu wao wana wajua watu wao wote wanajua alietoka alie ingia .. kuna mode nyingi sana wangezitumia kwenye hili zoezi zingefanya vizuri kuliko hivi
 
Makarani karibia wote kwenye mambo ya technolojia ni sifuri...
Basi kama taifa tumepigwa kwenye hii sensa, tarifa nyingi zitakuwa sio sahihi na ambazo tutaona shihi zitakuwa na mapungufu. Hazitokuwa na tija kwa zaidi ya asilimia 70% katika kuandaa plan nzima za ki maendeleo ya vitu na watu ... ndio yale wanajenga shule za watu 100 kumbe watu wapo 1000
 
Anna Makinda atakujibu.... ingawa waliohesabiwa wanaweza kutumika kutoa takwimu dhahania... makosa yalianza kwenye idadi ya maswali kuwa ya kiutafiti... mtu mmoja anahojiwa dk 40... sio rahisi kuwafikia wote.
Wanauliza smart phone hizi takwimu wanazo watu wa mitandao yasimu

Na sisi nyumba nzima tumejaza hatuna kazi
 
Nadhani sensa ya mwaka huu ina maswali mengi sana ambayo sidhani kama yalikuwa na ulazima. Sasa kuna watu watataka kumchallenge karani lengo la maswali kadhaa na karani unakuta ni mweupe unakuta linaanza darasa sasa toka kwa mhesabiwa kwa karani.

Wanasiasa nae wana mchango wao mkubwa kwenye kuchelewesha zoezi kwa kuanzisha mchezo wao wa kutaka picha mara kurekodi video na makarani. Kila mtu sasa anataka kabla ya yote apate video au picha na wengine wakiona zimetoka vibaya wanafuta wanaanza upya kabisa kama wanarekodi movie. Kazi kweli kweli
 
Wanabodi,
Makala ya leo ni Swali
Sensa za nyuma tulihesabiwa Ki Analogia na ilichukua Siku 1 tuu, sasa tunahesabiana Kidigitali inachukua Siku 7!, Could There Be Something Wrong Somewhere?!. Leo ni siku ya 6, kuna kaya hazijafikiwa, kesho ni siku ya 7 ambayo ndio ya mwisho, jee kaya zote zilizobakia zitafikiwa?, Je ambazo hawajafikiwa, mpaka kesho, jee watafikiwa, jee watahesabiwa au ikibidi kuongeza siku moja au mbili, tuongeze wote tufikiwe, wote tuhesabiwe?!
View attachment 2336973View attachment 2336974
Paskali
Data Forecasting !!!
 
Zoezi halikuwa kinahitaji nguvu kubwa, ila akili kubwa. Leo huwezi kukusanya data kwa mfumo huu ukafanikiwa ni ngumu sana. Zoezi walikuwa wanamaliza mabarozi na wajumbe wa nyumba kumi tena wangepata taarifa zilizo sahihi karibia asilimia 90%. Wangewapa uwezo na ku build IcT office na watenda kazi wawili watatu wa kuingiza taarifa kutoka katika hayo mashina kwasababu wao wana wajua watu wao wote wanajua alietoka alie ingia .. kuna mode nyingi sana wangezitumia kwenye hili zoezi zingefanya vizuri kuliko hivi
Dah ni kweli kabisa. Umenikumbusha kuhusu mabozi. Mabalozi wa nyumba kumi wote wanawajua watu wao na tena mpaka umri etc. unajua sensa ya safari hii eti mtu anaulizwa una umri gani bila kuthibitisha anatajiwa any age. Nadhani hii sensa ni bonge la failure pamoja na kutumia kiasi kikubwa cha hela. Ninaamini angekuwa Dkt Magufuli angehoji vitu vingi na mabalozi wangeweza kurahisisha zoezi na tena sensa ingefanyika siku moja then hao mawakala wangefanya kazi ya data entry kwa hizo siku zingine.
 
Wanauliza smart phone hizi takwimu wanazo watu wa mitandao yasimu

Na sisi nyumba nzima tumejaza hatuna kazi
Hahahaha ni kweli ni moja ya maswali ya ajabu kabisa mpaka najiuliza hivi huyu mkurugenzi wa NBS anajua maana ya dodoso la kukusanyia taarifa??? Watu wengi wametoa taarifa za uongo uongo
 
Dah ni kweli kabisa. Umenikumbusha kuhusu mabozi. Mabalozi wa nyumba kumi wote wanawajua watu wao na tena mpaka umri etc. unajua sensa ya afaru hii eti mtu anaulizwa una umri gani bila kuthibitisha anatajiwa any age. Nadhani hii sensa ni bonge la failure pamoja na kutumia kiasi kikubwa cha hela. Ninaamini angekuwa Dkt Magufuli angehoji vitu vingi na mabalozi wangeweza kurahisisha zoezi na tena sensa ingefanyika siku moja then hao mawakala wangefanya kazi ya data entry kwa hizo siku zingine.
Balozi wa nyumba kumi wana wabeza, ila wakijengewe uwezo hata taarifa zinakuwa updated kila mala. Wange develop system ambayo inawaunganisha hao wote na inakuwa centralized mahala pamoja ambaoo kunafanyika manageemnet ya hizo data zote baada ya kuingizwa. Gharama hizi zingekuwa zimekwepa na tusingekuja pata changamoto za takwimu, maana zingekuwa zinaoata update ya kila baada ya mda. Mtu huyu katoka huyu kafa huyu hayupo huyu yupo jela ect .. shida hatuna wabunifu huko juu na wanaweza kuwepo ila wezi wezi
 
Ningekuwa Rais Samia ningemfuta kazi mkurugenzi NBS. Hana ubunifu kabisa. Mwl Nyerere alitutengenezea mfumo mzuri kabisa wa taarifa ila sisi ndiyo wazembe. Mbona CCM wanautumia mfumo huu huu wa mabalozi kushinda chaguzi? Hakika hii thread imetufumbua macho. Halafu mkurugenzi wa TBS anatoka kuchimba biti watu. Kwanza wametumia gharama kubwa recruitment na bado kazi ya ovyo. Nadhani hata Mama Makinda sijui aliingiaje, walipaswa kumuweka kamisaa kama Anthony Mtaka.
 
Nafikiri, moja sio kwamba hawakuona kama hizi zoezi linaweza kuwa jepesi sana ikitumika kwa kuanzia ngazi za mabalozi wa nyumba kumi tena lingefanyika kwa ufanisi wa hali ya juu sana kama ulivyosema hapo juu. Ila Nahisi kuna ushindani mle ndani na ndio matokeo yake haya ( mahala kukisha kuwa na ushindani , usitegemee kukawa na ufanisi maana hakuna kusikilizana ) kila mtu ana lake na kupitia hilo lake unakuta kalenga kupata kitu flani. Huenda mbeleni mambo yakawa mambo mazuri, maana kwa sensa hii tumerudi nyuma. Mabalozi wa nyumba kumi ni watu muhimu sana kama wanatumika kwa usahihi na lengo mama toka awali
 
Ki uhalisia sensa hii ni more advanced tofauti na sensa nyuma.

Karani anaweza akakaa kwenye nyumba moja Zaidi ya Masaa mawili itategemea Kaya ina watu wangapi.

Ikiwa Kaya ina watu wenye umri wa miaka kumi na kuendelea maswali yanakuwa mengi Kwa kila mwana Kaya. Hivyo karani atatumia muda mrefu Zaidi kwenye Kaya ya aina hii.

Kwa kusema wamalize Kaya 150 na Zaidi Kwa siku saba Kwa mkoa wa Dar itakuwa kulipua kazi.

Wanaolalamika kuhusu kutofikiwa na makarani na vile hawajui tu ugumu wanaokutana nao.

NB:Hawa NBS na mama Makinda waweke open kuhusu malipo Yao maana wanalipwa hela kidogo Sana kwenye zoezi la sensa kuliko walivyokuwa kwenye semina.
Zoezi Kwa jumla lina siku 11 likiwa na mgawanyo kama ifuatavyo siku mbili za Kwanza ilikuwa kutembelea maeneo wakiwa na wajumbe wa nyumba 10, then siku 7 ni zoezi la kuhesabu watu . Mwisho siku mbili watakuwa na zoezi la dodoso la majengo .Kwa mtu ambaye aninipa hizi taarifa ni kuwa Kwa siku zote hizi wanalipwa shilingi 450,000/-

Kunatakiwa kuwe na uwazi wa malipo haya toka Kwa commissioner wa sensa mwenyewe. Anapokuwa anatoa ufafanuzi wa bajeti yake basi aseme hawa makarani wanalipwa kiasi gani.

Wilaya ya Temeke hela za semina wamepewa ikiwa pungufu elfu 40. Wakiulizia wanaambiwa watapewa Ila haijulikani lini.

Hivyo yote Kwa yote sensa za nyuma zilikuwa hazibebi maswali mengi kama za sasa hivi ambazo wanahitaji kujua mpaka umiliki wa ardi wa mtu mmoja mmoja na mali zingine kama magari, laptops etc .
 
Back
Top Bottom