Hii tarehe tu ni ya wapiAfisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia
Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo
Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 32/07/2022
Yanga yamteua Wakili Simon Patrick kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mpito
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hii tarehe tu ni ya wapi
Naunga mkono hoja ......senzo alikuwa ni mwamba aliyeteuliwa kuwavusha wananchi bahari ya shamu kwenda kanani.Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia..
Wamevuka?Naunga mkono hoja ......senzo alikuwa ni mwamba aliyeteuliwa kuwavusha wananchi bahari ya shamu kwenda kanani.
Mars[emoji16][emoji16]Hii tarehe tu ni ya wapi
Kwani yeye ni kocha?Hata m. Nililiona Hilo jamaa ataki kufanya kazi na Morrison katukatu
Kocha alisema mambo ya nidhamu ni ya uongozi, yeye anaangalia uwanjaniKwani yeye ni kocha?