Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia
Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo
Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022
Yanga yamteua Wakili Simon Patrick kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mpito