Hao na wanajisifia bure sasa foldable phone mbona sio nzuri kihivyo, watu bado wanapendelea S series
Dynamic island,wametisha sana ile michezo ya kwenye pill palekwenye ile pill shape notch wameua jinsi inavyotumika,wameamua isikae tu pale kama doa,sometime inatanuka na kuonyesha notiffication[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]
ila kwenye 14,14plus wazidhoofisha ili wakapige $100 za ziada kwenye 14 pro na 14 pro max.
maana ukiwa na 14 plus ni kama una 13 plain iliyo pana zaidi[emoji82][emoji82][emoji82]
Iphone wanajua kiufupi wamarekani nawakubali we ikumbuke tu hata blackberry!βDynamis islandβ kuna u genious mkubwa umetumika pale . Turning a weakness into a strenght!
Watu wa marketing wana cha kujifunza kwenye hii Notchification centre
Hakuna.Hivi huku Tz kuna mtandao unasupport eSim?
Flagships phones zote ni za watu wenye hela.Ila samsung wapo vizuri sana mzee. Sema iPhone wamelenga kama kundi flani hivi la wadau
Ndio uelekeo wa dunia ya sasa.Ni mfumo mpya wa kielektroniki ambao unakua koded kiwandani kwaajili ya mitandao ya simu kuja kuinstall software zao za line, kwahyo huitaji tena yale makadi ya kizamani.
sidhani kama flagships ni za watu wenye hela pekee.. Ila nahisi ni watu wenye upenzi na simu husika.. Angalia hizi iphone hadi watoto wachuao wanazo tena unakuana nazo latest na wapo walio na hela wanatumia opoFlagships phones zote ni za watu wenye hela.
Apple anatengeneza flagships tu. Sio kila mtu anaweza afford.
Hata Flagship za Android phones sio kila mtu ana afford.
eSim itakuwa mpango mzimaNdio uelekeo wa dunia ya sasa.
Miaka mitatu ijayo iphone zote zitakuja na esim.
Ushafanya mambo Lizzy apate iPhone 14 Pro Max 1TB na AirPods Pro pamoja na watch ultra πππIla Tz bado tuko nyuma sana!
Unaendekeza chuki na umasikiniiPhone na marinda ya vijana havijawahi kuchukiana
NadaUnaendekeza chuki na umasikini
Nasubiri October mzee baba.. Ushawahiwaa π€ π€Lizzy naona yupo busy na post Malone. Vp wewe umeshafanya pre-order?