Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

Kuna watu tayari wanahenyea iphone 14[emoji23]
IMG_0596.png
 
Wazee wa apple ecosystem.

Kila simu mpya ikitoka na kuipaparikia huu nao ni undava.

8k camera sijui hata unafanya nayo nini sasa

Simu zilizopo kwa sasa zinatosha sana kwa matumizi walau miaka 4.

Watu wengi wananua simu za bei mbaya sio sababu ya features bali kuonyesha jamii wapo mbele ya muda😂
 
Wazee wa apple ecosystem.

Kila simu mpya ikitoka na kuipaparikia huu nao ni undava.

8k camera sijui hata unafanya nayo nini sasa

Simu zilizopo kwa sasa zinatosha sana kwa matumizi walau miaka 4.

Watu wengi wananua simu za bei mbaya sio sababu ya features bali kuonyesha jamii wapo mbele ya muda[emoji23]
Usiseme simu za bei Mbaya, sema Iphone

Sisi watumiaj wa samsung simu zetu hazina kitu cha kuifanya jamii wakiona wajue ile n samsung aina flan, mwingine anaweza hisi una infinix

Wanaofaham matoleo ya samsung n sisi watumiaj wenyewe na tupo wachache
 
mhhhh mkuu unazungumzia A series labda[emoji31][emoji31]
tena a10,10s a03,a11 nk.hata A 32 tu inafoka balaa.mtu akikuona nayo lazima aifate aikague.

mtu hawezi kukutengenezea simu ya $500 kwenda juu akaripua ripua tu,lazima ukishika uone thamani ya hela yako.
 
Joto vipi??
Kuna tofauti kubwa kidogo kama kule watatumia esim pia video recording itakuwa 8k na zoom yake itakuwa 10x ya iphone nyingine. Na pia nasikia itakuwa 8000 mAh battery capacity.
 
Wazee wa apple ecosystem.

Kila simu mpya ikitoka na kuipaparikia huu nao ni undava.

8k camera sijui hata unafanya nayo nini sasa

Simu zilizopo kwa sasa zinatosha sana kwa matumizi walau miaka 4.

Watu wengi wananua simu za bei mbaya sio sababu ya features bali kuonyesha jamii wapo mbele ya muda[emoji23]
Poverty kitu kibaya sana.

Kuna wengine wananunua gari brand new kila baada ya miaka miwili.

Simu kitu gani?
 
Back
Top Bottom