National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
😀😀😀 Ndio ivyo mkuuChemistry C= 3H 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 Ndio ivyo mkuuChemistry C= 3H 😂
Usiseme simu za bei Mbaya, sema IphoneWazee wa apple ecosystem.
Kila simu mpya ikitoka na kuipaparikia huu nao ni undava.
8k camera sijui hata unafanya nayo nini sasa
Simu zilizopo kwa sasa zinatosha sana kwa matumizi walau miaka 4.
Watu wengi wananua simu za bei mbaya sio sababu ya features bali kuonyesha jamii wapo mbele ya muda[emoji23]
Usiseme simu za bei Mbaya, sema Iphone
Sisi watumiaj wa samsung simu zetu hazina kitu cha kuifanya jamii wakiona wajue ile n samsung aina flan, mwingine anaweza hisi una infinix
Wanaofaham matoleo ya samsung n sisi watumiaj wenyewe na tupo wachache
wekeni picha, sisi wengine hizo iphone hatuzijui. tunatumia tecno.
Tafuta hela, usilalamikeKuna watu tayari wanahenyea iphone 14[emoji23]View attachment 2348334
Kampuni gani isiyotoa toleo jipya kila mwaka?Ma njiwa,Apple watawachezea sana akili zenu. Kila mwaka toleo jipya. Kweli clients mpoooo.
Yaani apate i14 kwa kipochi manyoya chake, watu wanapiga trip za kwa mpalange via buzaTayari maslay queen wameanza kunyoa ikulu ndogo, kwaajili ya mapambano ya kuipata hii simu!
Mpaka sisi wa tekno wereva tunachangia, itakuwa nyinyi samsang' 😂Wale Samsung User tunaruhusiwa kuchangia kwenye hili Mkuu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna tofauti kubwa kidogo kama kule watatumia esim pia video recording itakuwa 8k na zoom yake itakuwa 10x ya iphone nyingine. Na pia nasikia itakuwa 8000 mAh battery capacity.
Kampuni zote hutoa,zishaona manjiwa lazima yanunue .Kampuni gani isiyotoa toleo jipya kila mwaka?
Kama una efficient chip set, kuna na battery kubwa ni pointless.8000mAh kwenye iphone hii tusubiri labda 2030.
ukizingatia 3800 mAh za mwaka jana zimeonyesha uwezo mkubwa sana wa kukaa na charge.
sana sana watapunguza namba,wakirenga kupunguza ukubwa wa betry na kupata simu nyembamba zaidi.
Poverty kitu kibaya sana.Wazee wa apple ecosystem.
Kila simu mpya ikitoka na kuipaparikia huu nao ni undava.
8k camera sijui hata unafanya nayo nini sasa
Simu zilizopo kwa sasa zinatosha sana kwa matumizi walau miaka 4.
Watu wengi wananua simu za bei mbaya sio sababu ya features bali kuonyesha jamii wapo mbele ya muda[emoji23]