Ni the same kwenye aspect ipi sasa, shape, performance, srorage or what? Manake yupo too broad.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni the same kwenye aspect ipi sasa, shape, performance, srorage or what? Manake yupo too broad.
Probably design and features ila ni kawaida kwa makampuni ya marekani, That's why Huawei iliyokua inafanya dramatic Upgrades kwenye kila Flagship zao wamarekani walihakikisha hazikanyagi kwao tena !! Mfano unaweza kujisifu kwa kuleta 48Mp and always on Display (AOD) 2022 ? Samsung wanatumia AOD toka 2016 kwenye S7 !!Ni the same kwenye aspect ipi sasa, shape, performance, srorage or what? Manake yupo too broad.
Kwa nilichosikia ingawa I'm not so sure, pengine unaweza kuliongelea hili, kwa iphone 14 kavu imekuja na OiS tofauti kabisa pamoja na improved rear camera.Probably design and features ila ni kawaida kwa makampuni ya marekani, That's why Huawei iliyokua inafanya dramatic Upgrades kwenye kila Flagship zao wamarekani walihakikisha hazikanyagi kwao tena !! Mfano unaweza kujisifu kwa kuleta 48Mp and always on Display (AOD) 2022 ? Samsung wanatumia AOD toka 2016 kwenye S7 !!View attachment 2350287
Yes wanacompete na samsung sana ambao wao s22 ultra ina 108 Mp wide angle camera. Hapo kwenye software hata iphone za nyuma from Iphone 8 watapata free update kwenda iOS 16.Kwa nilichosikia ingawa I'm not so sure, pengine unaweza kuliongelea hili, kwa iphone 14 kavu imekuja na OiS tofauti kabisa pamoja na improved rear camera.
Asante sana.Yes wanacompete na samsung sana ambao wao s22 ultra ina 108 Mp wide angle camera. Hapo kwenye software hata iphone za nyuma from Iphone 8 watapata free update kwenda iOS 16.
Mkuu flagship yangu ya mwisho mwaka 2020 ilikua hiyo s10 + tena baada ya kuuza uhawei 30 pro nikaingia s10 +,nikatumia kama miezi 3 tu ikapata damage mbaya kuipeleka kwa fundi akataka kama usd 350 ili ipone,nikasema nijishikize kwenye midrange A70,kuingia humo nikakuta tofauti kubwa kwa ni camera tu lakini game zote nikizokua nacheza kule s10 +,huku nacheza mzee nimetulia na midrange langu hili nov hapo linatimiza miaka 3 na liko poa tu 😂Upo sawa kabisa mkuu, nimenunua karibia kila aina ya simu, mwisho wa siku nikaona sipo sawa, kuna function muhimu nikizipaga hata simu ya laki tano inatosha
Kwa kigezo kipi mzeeBado sijaona wa kumfikia SAMSUNG kwenye uwanda wa SIMU.
Best,Mkuu flagship yangu ya mwisho mwaka 2020 ilikua hiyo s10 + tena baada ya kuuza uhawei 30 pro nikaingia s10 +,nikatumia kama miezi 3 tu ikapata damage mbaya kuipeleka kwa fundi akataka kama usd 350 ili ipone,nikasema nijishikize kwenye midrange A70,kuingia humo nikakuta tofauti kubwa kwa ni camera tu lakini game zote nikizokua nacheza kule s10 +,huku nacheza mzee nimetulia na midrange langu hili nov hapo linatimiza miaka 3 na liko poa tu 😂
Ila ikifika Bongo utauziwa $900 halafu iPhone 14 pro Max utauziwa $1300 yenye storage ya 128gb. Sijui kwann Tz Simu Bei juu Sana,sijajua shida ni Kodi au uroho wa wafanyabiashara!!!!!!Kuna mtu nilimwambia iphone 14 ni 700$ akabisha nahisi ni National Anthem
Mkuu flagship na midrange nilizotumia ni za muda kidogo,hizo ulizozitaja hapo bado sijazishika bado natumia simu ya miaka 3 nyuma,nisikudanganye mkuu hizo sizifahamu kihivyoBest,
Naona una experience kubwa kwenye midrange na flagship za samsung, Binafsi for the time being natumia a21, ila natamani kununua kati ya A33 or S21.
Changamoto ninayokutana nayo, ni ipi kati ya hz mbili inaweza kuwa bora ukizingatia thaman ya pesa
Kindly assist.
Hivi tecbo bado zipo?!Tunaotumia Tecno tunacomment wapi?
Bado tunazo mkuu.Hivi tecbo bado zipo?!
😂 Wanaweka running costs zao kwenda kufata mzigo bado walipie kodi na bado walipie tozo!Ila ikifika Bongo utauziwa $900 halafu iPhone 14 pro Max utauziwa $1300 yenye storage ya 128gb. Sijui kwann Tz Simu Bei juu Sana,sijajua shida ni Kodi au uroho wa wafanyabiashara!!!!!!
Kwa tech ilipofika sasa, usitegemee masive change kwenye hizi simu.