Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

Ni the same kwenye aspect ipi sasa, shape, performance, srorage or what? Manake yupo too broad.
Probably design and features ila ni kawaida kwa makampuni ya marekani, That's why Huawei iliyokua inafanya dramatic Upgrades kwenye kila Flagship zao wamarekani walihakikisha hazikanyagi kwao tena !! Mfano unaweza kujisifu kwa kuleta 48Mp and always on Display (AOD) 2022 ? Samsung wanatumia AOD toka 2016 kwenye S7 !!
 
Probably design and features ila ni kawaida kwa makampuni ya marekani, That's why Huawei iliyokua inafanya dramatic Upgrades kwenye kila Flagship zao wamarekani walihakikisha hazikanyagi kwao tena !! Mfano unaweza kujisifu kwa kuleta 48Mp and always on Display (AOD) 2022 ? Samsung wanatumia AOD toka 2016 kwenye S7 !!View attachment 2350287
Kwa nilichosikia ingawa I'm not so sure, pengine unaweza kuliongelea hili, kwa iphone 14 kavu imekuja na OiS tofauti kabisa pamoja na improved rear camera.
 
Kwa nilichosikia ingawa I'm not so sure, pengine unaweza kuliongelea hili, kwa iphone 14 kavu imekuja na OiS tofauti kabisa pamoja na improved rear camera.
Yes wanacompete na samsung sana ambao wao s22 ultra ina 108 Mp wide angle camera. Hapo kwenye software hata iphone za nyuma from Iphone 8 watapata free update kwenda iOS 16.
 
Iphone 14 haija trend naona haiongelew kabisa simu ni ileile kama iphone13 walichobadilisha kwenye 14pro ni notch na labda na hio satelite, photonic engine, proRAW Camera, A16 Bionic chip.

Sijaona mpya kwenye hii simu sidhan kama itafanya vzr kama iphone12 & 13. Kwenye mitandao zamn kama leo iphone inatrend ila kwa hii 14 wamezingua sana.
 
Upo sawa kabisa mkuu, nimenunua karibia kila aina ya simu, mwisho wa siku nikaona sipo sawa, kuna function muhimu nikizipaga hata simu ya laki tano inatosha
Mkuu flagship yangu ya mwisho mwaka 2020 ilikua hiyo s10 + tena baada ya kuuza uhawei 30 pro nikaingia s10 +,nikatumia kama miezi 3 tu ikapata damage mbaya kuipeleka kwa fundi akataka kama usd 350 ili ipone,nikasema nijishikize kwenye midrange A70,kuingia humo nikakuta tofauti kubwa kwa ni camera tu lakini game zote nikizokua nacheza kule s10 +,huku nacheza mzee nimetulia na midrange langu hili nov hapo linatimiza miaka 3 na liko poa tu 😂
 
Best,
Naona una experience kubwa kwenye midrange na flagship za samsung, Binafsi for the time being natumia a21, ila natamani kununua kati ya A33 or S21.

Changamoto ninayokutana nayo, ni ipi kati ya hz mbili inaweza kuwa bora ukizingatia thaman ya pesa

Kindly assist.
 
Kuna mtu nilimwambia iphone 14 ni 700$ akabisha nahisi ni National Anthem
Ila ikifika Bongo utauziwa $900 halafu iPhone 14 pro Max utauziwa $1300 yenye storage ya 128gb. Sijui kwann Tz Simu Bei juu Sana,sijajua shida ni Kodi au uroho wa wafanyabiashara!!!!!!
 
Best,
Naona una experience kubwa kwenye midrange na flagship za samsung, Binafsi for the time being natumia a21, ila natamani kununua kati ya A33 or S21.

Changamoto ninayokutana nayo, ni ipi kati ya hz mbili inaweza kuwa bora ukizingatia thaman ya pesa

Kindly assist.
Mkuu flagship na midrange nilizotumia ni za muda kidogo,hizo ulizozitaja hapo bado sijazishika bado natumia simu ya miaka 3 nyuma,nisikudanganye mkuu hizo sizifahamu kihivyo
 
Haha mkuu kwamba philadelphia umeona ndio mji wenye watu wenye shida sana kuliko miji yote ya kule
Ndio mkuu haswaa kule Kensington Ave kwa mateja!
 
Ila ikifika Bongo utauziwa $900 halafu iPhone 14 pro Max utauziwa $1300 yenye storage ya 128gb. Sijui kwann Tz Simu Bei juu Sana,sijajua shida ni Kodi au uroho wa wafanyabiashara!!!!!!
😂 Wanaweka running costs zao kwenda kufata mzigo bado walipie kodi na bado walipie tozo!
 
Back
Top Bottom