Sera ya Elimu ni janga kwa vyuo vya ualimu nchini. Ni janga kwa wasomi wa shahada za ualimu nchini!

Yn mtu n mwalimu afu hajui lesson plan?

πŸ˜‚ Dah aisee utumishi shikilieni hapo hapo msiachie πŸ˜‚
 
Naunga mkono hoja umeongea point sana ila wajuaji hawatakuelewa.

Interview za utumishi zinatakiwa kubadilika maswali yanatakiwa yawe practical oriented kuliko theory.
 
Kwani lazima waliohitimu mafunzo ya ualimu wote waajiriwe? Serikali haiwezi kuajiri wahitimu wote wa ualimu na kozi nyingine Kwa Mara moja na haitokuja kutokea ikaajiri wote.

Acha mchujo upite, kwanza shughuli zipo kibao za kufanya, Acha kulia.
Nawaza tu. Kama ndivyo, kuna faida gani serikali kujenga shule, vyuo, na kuwekeza mabilioni kwenye mikopo ya elimu ikijua wanaozalishwa vyuoni hawaajiriwi na mikopo haitarudishwa. Hatuna wazo au akili yoyote ya kutengeneza ajira ??
 
Hivi vijamaa hata vikiwa chuoni havisomi kwa kumakinika.

Waekewe bodi, zitungwe paper kama za Tanganyika school of law.

Halafu wanaopita ndio wapigwe interview ya kutiaha na kutosha.

Wakipita huko ndio waajiliwe na kuboreshewa maslahi yao, mazingira ya kazi na Incentive nyinginezo
 
Ndo wanamchangia rais fomu ya kugombea kuendelea kuongoza πŸ˜‚
Yaani Hawa watu sijui wana akili gani, we unaona nafasi zinazohitajika ni 200 watu wanaoenda kufanya usahili ni 30000, unalalama nini?

Kipindi hakuna usahili, mlikuwa mnasema ni rushwa, ndugu na marafiki wanapitishana. Sasa hivi Kuna usahili mnalalama Tena, Sasa mnataka nini? Eti mwenye Gpa kubwa ndo aajiriwe! Akili za kifala kabisa.
 
Nawaza tu. Kama ndivyo, kuna faida gani serikali kujenga shule, vyuo, na kuwekeza mabilioni kwenye mikopo ya elimu ikijua wanaozalishwa vyuoni hawaajiriwi na mikopo haitarudishwa. Hatuna wazo au akili yoyote ya kutengeneza ajira ??
Anaeweza kutengeneza ajira siyo serikali tu, hata wewe unaweza kutengeneza ajira, ukaokoa na wengine wasiokuwa na ajira na kupunguza mzigo wa wahitimu waliopo mtaani. Mitaala ya elimu isitudumaze, bado Tanzania ni developing country.

Haitokuja kutokea serikali ikawa na uwezo wa kutatua tatizo la ajira, wenye uwezo wa kujikomboa katika hili ni wananchi wenyewe, tuondoe dhana ya kuwa watumishi wa serikali, tujifunze kuielewa serikali yetu tupunguze vilio.
 
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Walimu wanaogopa Usaili kuliko mwanafunzi anavyoogopa mtihani.
Basi kila sekta usaili utolewe,maana kuna sekta hadi umalize una miaka saba darasani,yani mwanaume unaanza chuo hujaoa,unapata mtoto ukiwa chuo na mtoto anaanza baby class bado baba yupo chuo.
Usaili lazima,walimu acheni woga,huko ni kutokujiamini na kuonyesha kuwa chuoni kuna sehemu hapakueleweka.
Pia walimu kumbukeni kwamba, siyo wote wanaokwenda chuo wanaotoka wakiwa vizuri,wengine wanatoka hamnazo, ni vile tu hi dunia haijaumbiwa kwa ajili ya wanaofaulu tu darasani
 
Huyo ndo mwalimu alitaka kuajiriwa bila usaili πŸ˜‚
Asanteni utumishi kwa kuleta usaili πŸ™Œ
. Alihisi labda utumishi wataleta maswali ya Continuous Assessment, 😁😁😁.

. Huyu inabidi akandwe ili adabu ipatikane, baada ya hapo sasa ndo akandwe ili apate ajira 😁😁
 
. Alihisi labda utumishi wataleta maswali ya Continuous Assessment, 😁😁😁.

. Huyu inabidi akandwe ili adabu ipatikane, baada ya hapo sasa ndo akandwe ili apate ajira 😁😁
Alijiandaa na maswali ya what is geography πŸ˜‚
 
Baada ya usaili huu, usaili ujao ni mwaka 2125 πŸ˜‚ kwahy nyie mnalalamika kukaa miaka kumi mtaani kusubiri ajira za ualimu serikalin ongezeni miaka mingine mia jumla iwe miaka 110 ya kukaa mtaani kusubiri kuajiriwa ualimu serikalin πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…