Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Anaweza ht kuhamisha mlima Kilimanjaro kwa hizo hasira zake πDuuuh, mkuu umekasirika kwa kipimo kilichojaa na kufurika hasira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza ht kuhamisha mlima Kilimanjaro kwa hizo hasira zake πDuuuh, mkuu umekasirika kwa kipimo kilichojaa na kufurika hasira.
Yn mtu n mwalimu afu hajui lesson plan?Kuna point ya msingi anayo mathalani graduate alyesoma BA in geography and environmental studies ameitwa kwenye usaili wa somo la geography lakini maswali ya written interview unaulizwa maswali ya ualimu mwaka wa pili , hapa ndipo ujuha unapokuja na kupotezeana muda na pesa . Ujinga kabisa wa hali ya juu kwann huyu aitwee kwenye interview hali ya kuwa unajua hajasoma reaching methodology, lesson development, lesson plan ,psychology na mengine!!!!!
Unawashauri watafute kazi gn hizo? πAI inafundisha vizuri kuliko walimu wa Kayumba, tafuteni kazi nyingine
Naunga mkono hoja umeongea point sana ila wajuaji hawatakuelewa.Mimi shida yangu si huo wingi, Bali ni aina ya maswali......yalikuwa favourable kwa mtu aliyemaliza mwaka jana au juzi tu lakini waliomaliza 2018 huko walitengwa kabisa......na Kwakweli wameumizwa na kudhulumiwa sana. Huruma Kwakweli. Mtu yupo mtaani miaka 8, anashighulika na kilimo tu, ghafla analetewa maswali ya kifalsafa tupu ambayo yanahitaji mtu anayesoma na kutestiwa Kila siku. Kama hilo halitoshi, pass mark ilikuwa 80ππππ. Kwa hapa, kilio changu kipo pamoja na mleta mada.....wamedhulimiwa nauli na muda wao ndugu zetu wa miaka ya 2018, 2019 na 2020
Nawaza tu. Kama ndivyo, kuna faida gani serikali kujenga shule, vyuo, na kuwekeza mabilioni kwenye mikopo ya elimu ikijua wanaozalishwa vyuoni hawaajiriwi na mikopo haitarudishwa. Hatuna wazo au akili yoyote ya kutengeneza ajira ??Kwani lazima waliohitimu mafunzo ya ualimu wote waajiriwe? Serikali haiwezi kuajiri wahitimu wote wa ualimu na kozi nyingine Kwa Mara moja na haitokuja kutokea ikaajiri wote.
Acha mchujo upite, kwanza shughuli zipo kibao za kufanya, Acha kulia.
Yaani Hawa watu sijui wana akili gani, we unaona nafasi zinazohitajika ni 200 watu wanaoenda kufanya usahili ni 30000, unalalama nini?Ndo wanamchangia rais fomu ya kugombea kuendelea kuongoza π
Ahsante lkn Mimi ni Dr wa Manesi, sifundishi.Pole sana mwalimu
Anaeweza kutengeneza ajira siyo serikali tu, hata wewe unaweza kutengeneza ajira, ukaokoa na wengine wasiokuwa na ajira na kupunguza mzigo wa wahitimu waliopo mtaani. Mitaala ya elimu isitudumaze, bado Tanzania ni developing country.Nawaza tu. Kama ndivyo, kuna faida gani serikali kujenga shule, vyuo, na kuwekeza mabilioni kwenye mikopo ya elimu ikijua wanaozalishwa vyuoni hawaajiriwi na mikopo haitarudishwa. Hatuna wazo au akili yoyote ya kutengeneza ajira ??
Umemaliza kila kitu mkuuNimesoma post zote 1-20 naona shida kubwa sana.
Moja hata mleta mada hajui anataka Nini, maana ukweli hakuna ajira isiyo na interview, na nimeshiriki interview nyingi sana kwenye ajira za walimu shule za Private. Yeyote aliyetimiza vigezo vya Tangazo aliitwa kwenye usaili. Mfano Kuna shule mpya ilikuwa Dar tulihitaji walimu 9 tukipata applications 391 na wote walimeet initial screening procedure. Sheria inatak uwaite.
Baada ya hapo tuliscreen na kupata walimu 36 tukawapa interview ya pili wakabakia 19 then tunafanya mwisho tukipata serious teachers 9. Na shule ipo vizuri sana sana(form two mbili zilizopita wote division one) mwaka huu itakuwa na form four ya kwanza.
Hakuna kubebana wacha waitwe kwenye usaili lakini pia best teacher sio GPA hata kidogo bali uwezo binafsi wa mwalimu. Mfano: Kuna walimu wa kiingreza hawawezi kuzungumza kiingreza five minutes leave alone grammar.
Jambo la pili naona walimu wengi wamefocus kuaniriwa tena serikalini. SI lazima uajiriwe unaweza kujiajiri (walimu watatu au wanne anzisheni tuition center, QT, n.k) huku mnaeeza kujenga majini na kupata ajira. Ombeni kufundisha remedial classes kwenye shule hizo mnagawani mshiko na walimu). Lakini pia mnaeeza kuandaa notes, pamphlets, compendium au vitabu kwenye maeneo yenu ya ubobezi. Etc
Mnamlaumu Prof. Mkenda as if yeye ndio yupo kwenye Halmashauri.,
Mwisho kama walimu wengi ni watoto wa wakulima m ona hatuoni wakikwasaidia wazazi wao kuongeza tija kwenye kilimo na ufungaji badala yake wapo TikTok, X, fB etc. wasaidieni. Kwenye kilimo Kuna tija kubwa sana
. Alihisi labda utumishi wataleta maswali ya Continuous Assessment, πππ.Huyo ndo mwalimu alitaka kuajiriwa bila usaili π
Asanteni utumishi kwa kuleta usaili π
Tena ni NOT SELECTED yenye 0% π hapa ht mm ni lazima niione serikali n mbaya πNOT SELECTED
Alijiandaa na maswali ya what is geography π. Alihisi labda utumishi wataleta maswali ya Continuous Assessment, πππ.
. Huyu inabidi akandwe ili adabu ipatikane, baada ya hapo sasa ndo akandwe ili apate ajira ππ