Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Nenda ubeligiji ukaone jinsi walivyowabaguzi kutokana na sera ya majimbo
Tena majimbo ubeligiji yapo mawili tu ila utafikiri watu wa Nchi tofauti
Sera ya ubaguzi na mabeberu ambao ndio wanatibia na kuwaendeleza endeleeni kudiscuss hapo lumumba... Nyie hamfai hata kwa punje kuongoza watu... Mnaifanya nchi kubehave kama familia!
 
Nimewaambia Chadema, lissu akiwaletea hata wabunge wawili wakatambike
Kwa hiyo Mbowe anataka kuilete tena ili wajitenge. Haitawezekana ndugu yangu. Chadema imeonesha dharua kubwa sana kwa watanzania. Tutaiadhibu vibaya kwenye kura siyo tu ya Rais bali hata wabunge na madiwani
 
Wapo Kwasababu kushiriki Uchaguzi kila mtu anaruhusiwa

Baada ya hapo mtalia na kusaga meno
Hahaha mlisema hawatakuwepo kufika 2020 sasa sjui now mnaongelea wepi hao
 
Kwamba kutoishi KLM kunawaaffect vipi? Au kwa uelewa mwembamba mnajua shughuli za kiuchumi zitasimamishwa?
watarudi kwao KLM kwenye place of origin.Fursa wawachie wazawa ambao place of origin yao ipo hapo walipokalia watoka KLM.Wao warudi kwao wakakae na mlima wao kilimanjaro wakauane kwa ukosefu wa ardhi kwao wakabanane huko huko sio kukalia kufaidi raslimali za wengine ikiwemo ardhi kwenye majimbo yasiyo ya watu wa KLM.Kila mtu aachie raslimali aliyokalia jimbo lisilo lake akakalie ya kwake wao wakakalie mlima sababu ni wengi wakirudi hawatatosha vijijini wengine itabidi wakalie mlima kilimanjaro na ni haki yao ni ardhi lakini pia wao itabidi waachie ardhi yaowalizokalia majimbo mengine wawapishe wazawa
 
Watanzania ni slow tu hawaelewi hata majimbo ni nini? Yaani mnataka kutuaminisha wananchi hawataki kuchagua viongozi wao wenyewe kutok maeneo yao badala yake wapende huu mfumo wa viongozi kutokuwa na upendo na sehemu na kuomba tranfer kila siku. Mfumo wa sasa hauna maslahi kwa wananchi. Wabunge ni waakilishi tu lakini wangeweka viongozi ambao wanauwezo wa kupeka pesa sehemu mihimu sasa kuna upendeleo sana.
Achana nao vilaza wa lumumba hawa!! Hata hawaelewi mfumo wa majimbo wamekaa kipropaganda tu humu
 
Kwa sababu ni Sera bora inayohamasisha maendeleo na kurudisha mamlaka kwa wananchi katika kujipangia miradi yao ya maendeleo
Tuna wabunge,tuna wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,watendaji wa vijiji na viongozi wengine kibao.
Tukiwatumia hao mbona maendeleo yanapatikana tu!
Tuanze kuwekeana visa,sijui vibali vya kwenda mkoa mwingine..kwa kweli Mimi kwa sera hii siwapi kura wapinzani.
 
Nani kakwambia kwenye mfumo wa majimbo kuna visa ya kuingia jimbo moja kutoka jimbo lingine????? Daaah!!! Ivi una elimu gani we mtu??? Mbona kilaza hivyo???? Kutoka Texas kwenda New York unaitaji visa?????😂😂😂😂😂

Hao wakuu wa mikoa na wilaya wamefanya nini kwa miaka karibu 60 ya uhuru??? Mbona umasikini unazidi kuongezeka Tanzania???
 
Nani kakwambia kwenye mfumo wa majimbo kuna visa ya kuingia jimbo moja kutoka jimbo lingine????? Daaah!!! Ivi una elimu gani we mtu??? Mbona kilaza hivyo???? Kutoka Texas kwenda New York unaitaji visa?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hao wakuu wa mikoa na wilaya wamefanya nini kwa miaka karibu 60 ya uhuru??? Mbona umasikini unazidi kuongezeka Tanzania???
Nina elimu ya la 3b tena nilikuwa darasa la vilaza mkuu Ndiyo maana ni kilaza namna hii
Ila pamoja na ukilaza wangu bado siiungi mkono sera hii.
 
Basi kama huungi mkono kaa kimya tu sio kwa kujidhalilisha huku kwa kutoa maboko hivi kwenye jukwaa la great thinkers. Michango iyo katoe facebook. Jinga wewe
 
watarudi kwao KLM kwenye place of origin.Fursa wawachie wazawa ambao place of origin yao ipo hapo walipokalia watoka KLM.Wao warudi kwao wakakae na mlima wao kilimanjaro wakauane kwa ukosefu wa ardhi kwao wakabanane huko huko sio kukalia kufaidi raslimali za wengine ikiwemo ardhi kwenye majimbo yasiyo ya watu wa KLM.Kila mtu aachie raslimali aliyokalia jimbo lisilo lake akakalie ya kwake wao wakakalie mlima sababu ni wengi wakirudi hawatatosha vijijini wengine itabidi wakalie mlima kilimanjaro na ni haki yao ni ardhi lakini pia wao itabidi waachie ardhi yaowalizokalia majimbo mengine wawapishe wazawa
Acha porojo mkuu afu hukuwa na haja ya kuandika gazeti refu hivi... Mtu ni jaji wa mahakama kuu pale Kisutu so kwa vile ni mKLM ataachishwa kazi ama vipi... Ndio maana nasema mnakurupikia jambo ambalo hamjalielewa.
 
Basi kama huungi mkono kaa kimya tu sio kwa kujidhalilisha huku kwa kutoa maboko hivi kwenye jukwaa la great thinkers. Michango iyo katoe facebook. Jinga wewe
Hili Ni jukwaa huru na kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni yake na si lazima maoni yetu yakalingana.
Sikai kimya,nitaongea kile ninachotaka bila kujali utakipenda au hautakipenda.
Bando langu na mikono yangu natype ninachotaka Mimi na wala sipo hapa kukufurahisha wewe

Mjinga mwenyewe
 
Hujakatazwa kutoa maoni ila usitoe maoni ya kupotosha kilaza wewe!!!! Kama hujui jambo sema uelimishwe sio unakuja kumwaga ugoro wako humu uliolishwa huko kwa wajinga lumumba huko!!
 
Sijakulazimisha uamini maoni yangu..
Na maoni nitatoa tu,hakuna wakunizuia
Sihitaji kuelimishwa na wewe kilaza mwenye matusi.
Huko lumumba unakujua wewe fala
 
Hahahaha maoni ya kwamba kwenye mfumo wa majimbo unaitaji visa kutoka jimbo moja hadi lingine hapana hayo usiweke humu maana bora nimekuita kilaza nilitakiwa nikuite mpumbavu maana hata upumbavu ni kipaji kama urefu na ufupi according ni the late Mwl Nyerere
 
ivi jamani hii sera ya majimbo inajulikana kweli kule vijijini kwetu au ndo no sera ya mtandaoni tu,mana kwa vijiji nilivyopita sijaona wananchi wakigusia hii sera ya majimbo,kwa nilivyoona ni wasomi wachache mno tu ndo wanaielewa tena wenyew wanatofautiana sasa inakuaje izi mambo ,inabidi ijulikane mapema mana si rahisi bibi wa kijiji cha ipanko Kule ulanga kuelewa hii mambo sijajua mbinu gani watatumia kuelewesha umma wa wasio na elimu kubwa ambao ndo wapiga kura walio wengi
 
Joined August 8, 2020!!

Another Lumumba project kazini 😂😂😂
 
Back
Top Bottom