Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

Kwa kweli itungwe sheria kabla ya ndoa wahusika wapimwe akili huyu binti hakuwa sawa.
 
Si-shabikii kitendo alicho fanya huyu binti; lakini, she was forced kufanya mapenzi na mtu asie mpenda na hatakama unamjua, ni sexual assault. Wakina dada wendi especially vijijini wana jiua kutokana na tabia hii ya wazazi/mila kulazimisha ndoa. Tuna takiwa kubadilisha mila zetu ziendane na wakati.

Mambo ya kuchaguliana mke ou mume yamepitwe na wakati. Zaidi ya hayo, hata kama ni mke wa ndoa au girl friend, hutakiwi kulazimisha kufanya mapenzi. Lazima kuwe na consent. Kama hakuna consent hiyo ni sexual assault.

Nina uhakika, kama haki ikitendeka, huyu binti hata nyongwa na wala hatafungwa maisha, because she was protecting yourself from sexual assault. It's NOT her fault.
 
Du... Love and Hate two sides of the same coin.
 

Umasikini ni tatizo kubwa sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…