Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa watu wenye akili ndogo
Izo ni mbinu tu ili mtuhumiwa afunguke, msidhani ni kazi rahisi kudeal na jambazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Izo ni mbinu tu ili mtuhumiwa afunguke, msidhani ni kazi rahisi kudeal na jambazi
Kuna torture mbili physically and emotionally Mana physically Kama haifanyi kazi wanajaribu emotionally Kama mama yake akiwepo nadhani ndiyo ingekuwa nzuri mno kwa mtt sio ishu Sana.Tulia we kiuno nchi yoyote ile duniani watu kama hao hupitia mateso makali ili waseme wanashirikiana na kina nani na bunduki ziko wapi
Jambazi habembelezwi ili aseme ukweli
Wapo wanaoenda Kongo Zambia Kenya Ila kule Wana wenzao wanaowapa full detailed information kuwa Mali ama pesa iko wapi, na wale wanakuja huku wanachorewa ramani na Hawa jirani zako so wanafanya tukio baadaye wanaangaliwa mgao.unaweza ona mtu mwema tu mtaani, kumbe anaenda kufanya matukio hatari sana mikoani au mbali kabisa na mitaa yenu, na hutagundua, hivyo polisi wa intelligence ya kuona yote hayo na kujua wanashirikiana na nani, sbb ujambazi ni mtandao..
Sasa wewe mbona Kama huelewi kazi za watu jamani. Sema mie huwa sipendi kuvamia fani za watu ama kuonyesha ujuaji kwa kila kitu. Ila Nina eneo langu nalojidai so kwa jinsi navyolijua ukiwa newbies, amateur,rooky nitakuwa nakuona unavyokuja na ndoto zako ,ama grandiosity or macho Man mentality natulia mpaka uje upige kichwa kwenye rock ndio nakuuliza Ila ulikuwa unajua inakuwaje Sasa.Unaakili au unautahira fulani wewe ni mshenzi watabia .
Wewe ni mbwa koko au??
Unamwambia mtu afanye mapenzi na baba ake kweli .?
Ndio solution??
Miakq yooote polisi wqnapoua watuhumiwa wanasema walitaka kutoroka walipokuwa wanaenda kuonesha maficho ya silaha. Je kuna sheria inayowapa backup kwa hii claim?View attachment 2367550
Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti
Sunday September 25 2022
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.

By Beldina Nyakeke
IN SUMMARY

Musoma. Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.
“Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya Septemba 21, mwaka huu wakiwa na magari mawili; wakavunja milango na kuwatoa nje wote waliokuwemo ndani huku wakimtembezea kipigo kila aliyekuwa mbele yao,” amesema binti huyo
Amesema mlango wake ulipovunjwa na yeye kutolewa nje kwa vipigo, alimkuta baba yake na ndugu wengine wakiwa tayari wametolewa nje huku wakipigwa kulazimishwa kuonyesa silaha zilipofichwa.
“Baada ya kuwajibu kwamba sifahamu bunduki ilipo na wala sijawahi kumwona baba yangu akiwa na bunduki, askari wale waliendelea kunishambulia sehemu mbalimbali za mwili huku watuamuru mimi na baba kuvua nguo zote,” amesema Tabitha akionyesha huzuni usoni kabla ya kushindwa kuendelea kusimulia tukio hilo
Binti huyo ametoa simulizi hiyo mjini Musoma leo Septemba 25, 2022 wakati familia mbili kati ya tatu zilizopoteza wapendwa wao katika tukio hilo walipokutana na waandishi wa habari kusisitiza msimamo wa kutozika hadi uchunguzi huru na wa kina ufanyike kujua sababu na jinsi ndugu zao walivyopigwa risasi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu hakupatikana kuzungumzia tuhuma za askari wake kudaiwa kuwavua nguo baba na binti yake mbele ya wanafamilia wengine baada ya msaidizi wake aliyepokea simu yake ya kiganjani kueleza kuwa kiongozi huyo alikuwa kwenye ibada.
Msimamo wa familia
Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma, familia ya Mwise Simon na Mgare Mokiri wamesisitiza kutozika hadi uchunguzi wa kina utakapofanyika kubaini sababu na mazingira ya vifo vya ndugu zao.
"Tume huru tunayoomba iundwe ichunguze siyo tu mauaji ya Serengeti, bali pia ya watu wengine waliofia katika mikono ya polisi katika matukio mbalimbali wakiwemo wale waliodaiwa kuwa ni Panya Road," alisema Catherine Ruge, ambaye ni mpwa wa marehemu Mwise Simon
Catherine ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bavicha) amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala hilo kama alivyofanya kwa kifo cha mfanyabiashara wa madini Mussa Hamisi wa Mtwara aliyefia mikononi mwa polisi.
Watu hao waliouwawa na askari polisi kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, Simiyu na Tarime/Rorya ambao walikuwa wanafanya operesheni ya kusaka watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi.
Mwingine aliyepigwa risasi katika tukio hilo lililotokea usiku wa kumakia Septemba 22, mwaka huu ni Mairo Togoro (56) ambaye familia yake haikuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari mjini Musoma.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu alisema watu hao walipigwa risasi walipojaribu kutoroka walipoenda na askari polisi kuonyesha maficha yao na eneo wanakohifadhi silaha walizodaiwa kuzitumia kwenye uhalifu.
Taarifa hiyo inadai watu hao ambao sasa ni marehemu walikuwa wanatuhumiwa kujihusisha na matukio ya ujambazi na waliwaongoza askari kwenda kuonyesha walipojificha wenzao watatu lakini walipofika kitongoji cha Gentamome, ghafla askari polisi walishambuliwa ndipo walipolazimika kujibu mapigo.
More From Mwananchi
Ukichunguza hizo takwimu kwa undani utagindua.View attachment 2367550

Kweli wewe unatuthibitishia kuwa TanPol ni vilaza wa kutupwa.Acha mihemko kijana mdogo, Izo ni mbinu tu za kumchanganya kiakili mtuhumiwa aseme ukweli.
Haya mambo yanahitaji utulize akili ndo utaelewe kudeal na wahalifu kuna mbinu nyingi na zingine ni chafu kulingana na uchafu wa mtuhumiwa
Tuwauwe na mafisadi basi ambayo ndiyo yanakera zaidi.Sababu ya vifo ni ujambazi ,familia inataka sababu gani nyingine?
Hilo la kulazimisha sex na Mzee ndio la Hoja..
Acheni utani nyie wezi na majambazi yanakera Sana.
Tuanze na magaidi hasa wale ambao mahakama iliwakuta na hatia
Wawache polisi wafanye kazi wanavyojuwa waoCatherine ruge akamatwe
Achana na hao wanaongeaongea hawajawahi kutana na mziki wa majambaziSasa wewe mbona Kama huelewi kazi za watu jamani. Sema mie huwa sipendi kuvamia fani za watu ama kuonyesha ujuaji kwa kila kitu. Ila Nina eneo langu nalojidai so kwa jinsi navyolijua ukiwa newbies, amateur,rooky nitakuwa nakuona unavyokuja na ndoto zako ,ama grandiosity or macho Man mentality natulia mpaka uje upige kichwa kwenye rock ndio nakuuliza Ila ulikuwa unajua inakuwaje Sasa.
Sasa nikuulize walifanya kweli ama hawakufanya jibu Ni kuwa hawakufanya.
.umeambiwa Ni mbinu ama unadhani jambazi unaongea naye kilelemama unambembeleza Kama unavyobembeleza kuipata mbususu mkuu jaribu kuelewa Ni fani za watu an wanapewa mafunzo ingawa na wao Ni binadamu they aren't susceptible to subjectivity of it.
Jambazi Ni mtu hatari sema labda hujawahi kukutana naye. Smt jambazi sio binadamu sema wewe unamuona Ni binadamu externally Ila internally is quite different animal than who's seen outside.
Ila komaa na your mindset Mana biandamu Ni mgumu mno kumbadilisha mtizamo yaani Ni kazi mno unaweza ukatumia maisha yako unapambana na mtu kuwa abadilike hawezi sema mpaka aje akutane na maumivu makali mno yaani makali ama shida fulani ngumu ambayo itamfanya abadilike
Nyie mnataka jambazi abembelezweMiakq yooote polisi wqnapoua watuhumiwa wanasema walitaka kutoroka walipokuwa wanaenda kuonesha maficho ya silaha. Je kuna sheria inayowapa backup kwa hii claim?
Je Polisi wameishiwa pingu kiasi kwamba wanaenda na watuhumiwa wakiwa mikono huru?
Tume ya Haki za Binadamu, imebariki haya mauaji?
Siku ukifanyiwa tukio la kihalifu ndiyoSawa kuna majambazi ila kuna watuhumiwa tu pia.
Hakuna anayelaani huyo mwizi kuuliwa au kuteswa, tunacholaani ni huyo binti yake kufanyiwa unyama, jaribu kuelewa.Mkuu baadhi ya watu humu wanataaka mtuhumiwa wa uhalifu
Awe treated kama anapelekwa picknick....
Ukishaamua deal na jambaz elewa una deal na mtu siyo wa kawaida
Tatizo wanasiasa sjui wanaharakati
Wanaingilia haya mambo bila wao kujuwa chochote kuhusu majambazi
Sasa we umemkamata jambaz sugu
Unataka kumhoji unafikiri ukimuhoji
Kwa maongezi tu atatoa ushirikiano
Lazima umbaneeee
Ova
Sasa wewe mbona Kama huelewi kazi za watu jamani. Sema mie huwa sipendi kuvamia fani za watu ama kuonyesha ujuaji kwa kila kitu. Ila Nina eneo langu nalojidai so kwa jinsi navyolijua ukiwa newbies, amateur,rooky nitakuwa nakuona unavyokuja na ndoto zako ,ama grandiosity or macho Man mentality natulia mpaka uje upige kichwa kwenye rock ndio nakuuliza Ila ulikuwa unajua inakuwaje Sasa.