Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

Polisi wana taarifa za majambazi wote, jamani, msije waona polisi labda wanavamia tu na kumkamata mtu, wana taarifa sahihi na wanajua kabisa nani ni jambazi, ana kaa wapi, sasa jinsi ya kumkamata jambazi wa silaha sio kwenda kichwa kichwa, ni kuvamia kwa haraka na mapema kabla hajajiweka sawa, sbb hata polisi ni binadamu..

Majambazi wengi wanaficha sana silaha, hivyo bila kumsulubu vizuri hawezi kukuonyesha silaha iko wapi, haya mambo si rahisi kama mnavyoandika huku. Na Majambazi yakivamia wananchi, mnaanza kulaumu polisi, kuwa polisi hakuna kitu, polisi wamelala, ila nyie watu acheni ujinga, hivi mnajua majambazi vizuri nyie? Acheni polisi wafanye kazi yao, hakuna mwananchi anaweza kukamatwa au kuvamiwa na polisi kama sio jambazi, niseme, polisi ya leo ina taarifa sahihi kabisa ya kila mtu, hasa majambazi, ww unaweza ona mtu mwema tu mtaani, kumbe anaenda kufanya matukio hatari sana mikoani au mbali kabisa na mitaa yenu, na hutagundua, hivyo polisi wa intelligence ya kuona yote hayo na kujua wanashirikiana na nani, sbb ujambazi ni mtandao..

Kwa tukio lile la Mtwara, ni kweli pale polisi walifanya uhuni na unyama, pale hakuna la kuficha, polisi waliua raia mwema na serikali mmeona ilichukua hatua stahiki na kwa haraka sana, tena Mh. Rais alikasirika mno kwa tukio la Mtwara na mmeona hatua kali mno aliyochukua..
But the bottom line is, Jambazi sio kabisa mtu wa kumwacha, ni kumsulubu na kummaliza kabisa, ua kabisa, afe apotee na afe kifo kibaya kabisa, jambazi sio mwanadamu, ni mnyama hatari sana kuliko wanyama wote niseme, acheni ujinga nyie watu.
 
Polisi hawana hata akili ya kuongopa, kwamba wazee wa miaka 50+ walitoka nduki kuwazidi askari waliojaa kwenye defender mbili.Kwamba hawakuwa hata wamewafunga pingu!!!!
 
Tulia we kiuno nchi yoyote ile duniani watu kama hao hupitia mateso makali ili waseme wanashirikiana na kina nani na bunduki ziko wapi

Jambazi habembelezwi ili aseme ukweli
Kuna torture mbili physically and emotionally Mana physically Kama haifanyi kazi wanajaribu emotionally Kama mama yake akiwepo nadhani ndiyo ingekuwa nzuri mno kwa mtt sio ishu Sana.
 
unaweza ona mtu mwema tu mtaani, kumbe anaenda kufanya matukio hatari sana mikoani au mbali kabisa na mitaa yenu, na hutagundua, hivyo polisi wa intelligence ya kuona yote hayo na kujua wanashirikiana na nani, sbb ujambazi ni mtandao..
Wapo wanaoenda Kongo Zambia Kenya Ila kule Wana wenzao wanaowapa full detailed information kuwa Mali ama pesa iko wapi, na wale wanakuja huku wanachorewa ramani na Hawa jirani zako so wanafanya tukio baadaye wanaangaliwa mgao.

Kiukweli polisi wanajua vibaka wote majambazi wote na ndio Mana wakibanwa mno na raisi wanafanya kazi zao na tunalala mlango wazi.

Zamani huko home Ntarime Kuna mkutano wa wanakijiji walikuwa wanakaa wanatajana wezi wanaonywa na wanakijiji kuwa acheni wizi kusumbua watu.

Wengine majambazi sugu ama wezi wa cows wanasimama wanajitetea jamani Wana litongo mie Ni mwizi Ila siibi hapa nyumbani naenda nje ya Kurya Land so Hawa walikuwa wakienda kuiba mfano kwa wamasai,wamasai wa Kenya,usukumani sio ,ama wanakuja wilaya ya Serengeti. So Hawa walikuwa wanakuona heroes of the society Mana Wanaafanya importation ya Mali from abroad so utajiri unaongezeka wa jamii husika.

Yaani unakuta anajulikana na jamii nzima.

Mfano ukifanya biashara ya umachinga stendi ama maeneo fulani utawajua wezi na vibaka wote. Kama mie Kuna wengine nilikuwa nawauzia sigara na rizla za bangi nikiwa mdogo mno yaani hata nikikutana nao town nanunua mzigo wa kibandani wananiambia mdogo wangu buku ya fegi nawatoa. Halafu wezi na wavuta bangi Kama mnafahamiana huwa hawakufanyii baya lolote lile huwa Ni watu POA mno sema Sasa ukiwa na Tabia mbaya ama Kama hawakujui.

Kuna wengine wameshawahi vamiaa nyumba moja ya wapangaji Arusha Sasa bwana wote walivamiwa dada mmoja labda anaitwa Jane akawa anapiga kelele. Wakamuita wakamwambia kuwa sista wewe si sista Jane wewe lala Wala hatuna shida na wewe ,wewe Ni mtu POA mno.

Sasa bana polisi Kuja waliovamiwa wakasema kuwa Jane anawajua na akawatuma ama akawachorea ramani wanasema yote.polisi wanasema kuwa Kama angekuwa aamewatuma Basi wangeanza naye ili kupoteza ramani.

Namie huwa Nina Imani moja tu ya hivi Kama unaishi vizuri na jamii yako yaani Kama Ni mtu POA Nina Imani wachawi na wezi nyumba yako watairuka. Ila husalimii watu unapita na babyworker hushushi kioo uwape hai hata buku tu ya msosi wale vijana ambao bado hawajapata mchongo unategemea Nini watakuwa na chuki na wewe Mana Ni asili ya binadamu hii haikwepeki.

Sasa bana unaweza ukaibiwa halafu ukaambiwa marafiki zako wale wezi ,vibaka ama wavuta bangi wanatafuta vitu vyako na wakakuletea Mana wanajuana wote mtaa mzima Kama hivyo jamaa alivyosema huwa Ni mtandao.

Hii inaendana na maandiko kuwa ukiwa rafiki na Mungu Basi Mali zako na wevi hawatavamia nyumba yako.
..yaani kanuni ya kuishi na binadamu Ni ndogo mno sema smt ego inachukua nafasi yako.

.your ego is the enemy.

Sijamaanisha kuwa uwanyenyekee Ila ishi nao POA tu Basi Mana ukipata shida utawahitaji binadamu hao hao unawaona hawana thamani ya kuongea na wewe.

Umeanguka na gari lako umebanwa nadhani hapo Ni binadamu watakusaidia.
Umeuguliwa umezunguka hospital zote mpaka India unashangaa unaambiwa chukua huu mti chemsha Kanda mahala fulani unashangaa unapona.

.utadai Ni maisha ya kiswahili Ila yakikuta ndipo utayajua majiji yote.
..ishu Ni salamu nao ucheshi kidogo unasepa
 
Polisi ni genge la kihalifu lililoundwa na Serikali na kubarikiwa na wananchi👇

Unaakili au unautahira fulani wewe ni mshenzi watabia .
Wewe ni mbwa koko au??
Unamwambia mtu afanye mapenzi na baba ake kweli .?
Ndio solution??
Sasa wewe mbona Kama huelewi kazi za watu jamani. Sema mie huwa sipendi kuvamia fani za watu ama kuonyesha ujuaji kwa kila kitu. Ila Nina eneo langu nalojidai so kwa jinsi navyolijua ukiwa newbies, amateur,rooky nitakuwa nakuona unavyokuja na ndoto zako ,ama grandiosity or macho Man mentality natulia mpaka uje upige kichwa kwenye rock ndio nakuuliza Ila ulikuwa unajua inakuwaje Sasa.

Sasa nikuulize walifanya kweli ama hawakufanya jibu Ni kuwa hawakufanya.

.umeambiwa Ni mbinu ama unadhani jambazi unaongea naye kilelemama unambembeleza Kama unavyobembeleza kuipata mbususu mkuu jaribu kuelewa Ni fani za watu an wanapewa mafunzo ingawa na wao Ni binadamu they aren't susceptible to subjectivity of it.

Jambazi Ni mtu hatari sema labda hujawahi kukutana naye. Smt jambazi sio binadamu sema wewe unamuona Ni binadamu externally Ila internally is quite different animal than who's seen outside.

Ila komaa na your mindset Mana biandamu Ni mgumu mno kumbadilisha mtizamo yaani Ni kazi mno unaweza ukatumia maisha yako unapambana na mtu kuwa abadilike hawezi sema mpaka aje akutane na maumivu makali mno yaani makali ama shida fulani ngumu ambayo itamfanya abadilike
 
View attachment 2367550
Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti
Sunday September 25 2022
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.

By Beldina Nyakeke

IN SUMMARY

Musoma. Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.

“Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya Septemba 21, mwaka huu wakiwa na magari mawili; wakavunja milango na kuwatoa nje wote waliokuwemo ndani huku wakimtembezea kipigo kila aliyekuwa mbele yao,” amesema binti huyo

Amesema mlango wake ulipovunjwa na yeye kutolewa nje kwa vipigo, alimkuta baba yake na ndugu wengine wakiwa tayari wametolewa nje huku wakipigwa kulazimishwa kuonyesa silaha zilipofichwa.

“Baada ya kuwajibu kwamba sifahamu bunduki ilipo na wala sijawahi kumwona baba yangu akiwa na bunduki, askari wale waliendelea kunishambulia sehemu mbalimbali za mwili huku watuamuru mimi na baba kuvua nguo zote,” amesema Tabitha akionyesha huzuni usoni kabla ya kushindwa kuendelea kusimulia tukio hilo

Binti huyo ametoa simulizi hiyo mjini Musoma leo Septemba 25, 2022 wakati familia mbili kati ya tatu zilizopoteza wapendwa wao katika tukio hilo walipokutana na waandishi wa habari kusisitiza msimamo wa kutozika hadi uchunguzi huru na wa kina ufanyike kujua sababu na jinsi ndugu zao walivyopigwa risasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu hakupatikana kuzungumzia tuhuma za askari wake kudaiwa kuwavua nguo baba na binti yake mbele ya wanafamilia wengine baada ya msaidizi wake aliyepokea simu yake ya kiganjani kueleza kuwa kiongozi huyo alikuwa kwenye ibada.

Msimamo wa familia

Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma, familia ya Mwise Simon na Mgare Mokiri wamesisitiza kutozika hadi uchunguzi wa kina utakapofanyika kubaini sababu na mazingira ya vifo vya ndugu zao.

"Tume huru tunayoomba iundwe ichunguze siyo tu mauaji ya Serengeti, bali pia ya watu wengine waliofia katika mikono ya polisi katika matukio mbalimbali wakiwemo wale waliodaiwa kuwa ni Panya Road," alisema Catherine Ruge, ambaye ni mpwa wa marehemu Mwise Simon

Catherine ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bavicha) amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala hilo kama alivyofanya kwa kifo cha mfanyabiashara wa madini Mussa Hamisi wa Mtwara aliyefia mikononi mwa polisi.

Watu hao waliouwawa na askari polisi kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, Simiyu na Tarime/Rorya ambao walikuwa wanafanya operesheni ya kusaka watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi.

Mwingine aliyepigwa risasi katika tukio hilo lililotokea usiku wa kumakia Septemba 22, mwaka huu ni Mairo Togoro (56) ambaye familia yake haikuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari mjini Musoma.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu alisema watu hao walipigwa risasi walipojaribu kutoroka walipoenda na askari polisi kuonyesha maficha yao na eneo wanakohifadhi silaha walizodaiwa kuzitumia kwenye uhalifu.

Taarifa hiyo inadai watu hao ambao sasa ni marehemu walikuwa wanatuhumiwa kujihusisha na matukio ya ujambazi na waliwaongoza askari kwenda kuonyesha walipojificha wenzao watatu lakini walipofika kitongoji cha Gentamome, ghafla askari polisi walishambuliwa ndipo walipolazimika kujibu mapigo.

More From Mwananchi
Miakq yooote polisi wqnapoua watuhumiwa wanasema walitaka kutoroka walipokuwa wanaenda kuonesha maficho ya silaha. Je kuna sheria inayowapa backup kwa hii claim?

Je Polisi wameishiwa pingu kiasi kwamba wanaenda na watuhumiwa wakiwa mikono huru?

Tume ya Haki za Binadamu, imebariki haya mauaji?
 
Ukichunguza hizo takwimu kwa undani utagindua.
1. Viongozi wengi wa kitaifa wametokea mikoa iliyo chini kimapato.
2. Utagindua pia ndiyo inayosemekana kuwa na wazalendo wa kweli wa nchi hii.
 
Acha mihemko kijana mdogo, Izo ni mbinu tu za kumchanganya kiakili mtuhumiwa aseme ukweli.

Haya mambo yanahitaji utulize akili ndo utaelewe kudeal na wahalifu kuna mbinu nyingi na zingine ni chafu kulingana na uchafu wa mtuhumiwa
Kweli wewe unatuthibitishia kuwa TanPol ni vilaza wa kutupwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe mbona Kama huelewi kazi za watu jamani. Sema mie huwa sipendi kuvamia fani za watu ama kuonyesha ujuaji kwa kila kitu. Ila Nina eneo langu nalojidai so kwa jinsi navyolijua ukiwa newbies, amateur,rooky nitakuwa nakuona unavyokuja na ndoto zako ,ama grandiosity or macho Man mentality natulia mpaka uje upige kichwa kwenye rock ndio nakuuliza Ila ulikuwa unajua inakuwaje Sasa.

Sasa nikuulize walifanya kweli ama hawakufanya jibu Ni kuwa hawakufanya.

.umeambiwa Ni mbinu ama unadhani jambazi unaongea naye kilelemama unambembeleza Kama unavyobembeleza kuipata mbususu mkuu jaribu kuelewa Ni fani za watu an wanapewa mafunzo ingawa na wao Ni binadamu they aren't susceptible to subjectivity of it.

Jambazi Ni mtu hatari sema labda hujawahi kukutana naye. Smt jambazi sio binadamu sema wewe unamuona Ni binadamu externally Ila internally is quite different animal than who's seen outside.

Ila komaa na your mindset Mana biandamu Ni mgumu mno kumbadilisha mtizamo yaani Ni kazi mno unaweza ukatumia maisha yako unapambana na mtu kuwa abadilike hawezi sema mpaka aje akutane na maumivu makali mno yaani makali ama shida fulani ngumu ambayo itamfanya abadilike
Achana na hao wanaongeaongea hawajawahi kutana na mziki wa majambazi

Ova
 
Miakq yooote polisi wqnapoua watuhumiwa wanasema walitaka kutoroka walipokuwa wanaenda kuonesha maficho ya silaha. Je kuna sheria inayowapa backup kwa hii claim?

Je Polisi wameishiwa pingu kiasi kwamba wanaenda na watuhumiwa wakiwa mikono huru?

Tume ya Haki za Binadamu, imebariki haya mauaji?
Nyie mnataka jambazi abembelezwe
Mtu ashakuwa sugu anakamatwa anatoka anaendelea na uhalifu
Hebu toeni ngojera zenu hapa
Dawa ya jambaz ni kula za kichwa tu

Ova
 
Mkuu baadhi ya watu humu wanataaka mtuhumiwa wa uhalifu
Awe treated kama anapelekwa picknick....
Ukishaamua deal na jambaz elewa una deal na mtu siyo wa kawaida
Tatizo wanasiasa sjui wanaharakati
Wanaingilia haya mambo bila wao kujuwa chochote kuhusu majambazi
Sasa we umemkamata jambaz sugu
Unataka kumhoji unafikiri ukimuhoji
Kwa maongezi tu atatoa ushirikiano
Lazima umbaneeee

Ova
Hakuna anayelaani huyo mwizi kuuliwa au kuteswa, tunacholaani ni huyo binti yake kufanyiwa unyama, jaribu kuelewa.
 
Sasa wewe mbona Kama huelewi kazi za watu jamani. Sema mie huwa sipendi kuvamia fani za watu ama kuonyesha ujuaji kwa kila kitu. Ila Nina eneo langu nalojidai so kwa jinsi navyolijua ukiwa newbies, amateur,rooky nitakuwa nakuona unavyokuja na ndoto zako ,ama grandiosity or macho Man mentality natulia mpaka uje upige kichwa kwenye rock ndio nakuuliza Ila ulikuwa unajua inakuwaje Sasa.

Sasa nikuulize walifanya kweli ama hawakufanya jibu Ni kuwa hawakufanya.

.umeambiwa Ni mbinu ama unadhani jambazi unaongea naye kilelemama unambembeleza Kama unavyobembeleza kuipata mbususu mkuu jaribu kuelewa Ni fani za watu an wanapewa mafunzo ingawa na wao Ni binadamu they aren't susceptible to subjectivity of it.

Jambazi Ni mtu hatari sema labda hujawahi kukutana naye. Smt jambazi sio binadamu sema wewe unamuona Ni binadamu externally Ila internally is quite different animal than who's seen outside.

Ila komaa na your mindset Mana biandamu Ni mgumu mno kumbadilisha mtizamo yaani Ni kazi mno unaweza ukatumia maisha yako unapambana na mtu kuwa abadilike hawezi sema mpaka aje akutane na maumivu makali mno yaani makali ama shida fulani ngumu ambayo itamfanya abadilike

Wangempiga au kumkaba mappp angesema hicho kitu sio rahisi kabisa kumwambia mtu mzima hivyoo mnajidhalalisha
 
Back
Top Bottom