Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

Hawa uku
20220823_161643.jpg
20220823_124141.jpg
 
Tangu asubuhi watu tumeshinda home, but holaa, yaani nimehakikisha vitu vyote kwenye fridge vimeisha maana nikikaa kidogo tu nachukua kitu nakula, nikipita tena hivo hivo[emoji23][emoji23] fridge jeupee na Sensa bado[emoji23]
Hakuna sensa best,ni kupotezeana muda tu,

Leo nimeamini wanavyosemaga Tz hakuna kitu wanachofanya kikatik.

Kelele tu nyingi,
 
Ni siku 7 ila taarifa itaandikwa ilifanyika tar 22&23
 
Kuanzia asubuhi hadi sasa mtaani kwangu hawajapita hata nyumba moja, na sidhani kama watakamilisha hii Sensa ipasavyo
Zoezi la siku 7 kuweka mapumziko siku 1 sio sawa.
 
Hata sensa ya mwaka 2012 ilikuwa na mlolongo mrefu sana wa ku shade! Ilikuwa ukienda kwenye kaya yenye idadi kubwa ya watu, basi cha moto utakiona.
Kazi ya kushade vile vibox mzee asikwambie mtu,hela unaila kwa mateso....Nashkuru Mungu nilipewa eneo dogo,watu walikaa wiki nzima wanashade...mimi nikimaliza mapema kama siku 2.

Sensa ya Mwaka huu kwa nini inachukuwa muda mrefu na wanatumia teknolojia ya kidigitali kuingiza taarifa kwa nini isingekuwa rahisi?
 
Hata huku nilipo hawajafika hata husikii dalili ya karani wala harufu yake, sasa kwa nini watu wapumzike leo na kesho waende makazini bila kuhesabiwa?
 
Kuanzia asubuhi hadi sasa mtaani kwangu hawajapita hata nyumba moja, na sidhani kama watakamilisha hii Sensa ipasavyo
Labda unaishi remote area mpaka ufikiwe ni siku kadhaa
 
Maswali mia kwa kutumia vishikwambi kazi ipo..!na kama kazi ni za kupeana huna sifa ni hatari.
 
Niko katk flat moja za nhc hapa dsm mpk Sasa hawajayokea niliambiwa na jirani kuwa wamemaliza kwa hyo watakuja kwangu Lkn wapi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom