Serikali boresheni mishahara ya Walimu wa nchi hii

Nikupige kamba ili iweje ??

Kwa hiyo kwenye UALIMU hakuna daraja la kwanza au la pili ?? HUNA AKILI KABISA.!

Au aliyekwambia kwamba walimu wote ni failure alikupotosha.

Na hii dharau yako ni kutokana na maslahi mabovu ya Walimu.
One labla za HKL sio za PCB au PCM..na hata zikiwepo ni chache sana..

Kwanini tusiongee uhalisia?.
 
Nenda kaangalie upya TGHS zipo zote pale wala sio Siri.

Serikalini Watumishi huanza na D1 hizo zingine ni madaraja na specialist View attachment 2586471

Hapa sio kweli

Niko kada ya afya

Bachelor wanaanza na TGHS C kama manesi, makatibu wa afya, laboratory etc

Except
Pharmacy hawa ni TGHS D
madaktari TGHS E
 
Hawana umoja laiti wangekuwa na ushirikiano Sasa hivi mambo Yao yangekuwa yanatazamwa
 
Walimu na CCM ni Pete na kidole. Uchawa wenu kwa hilo genge utawagharimu sana.
 
One labla za HKL sio za PCB au PCM..na hata zikiwepo ni chache sana..

Kwanini tusiongee uhalisia?.
Sasa hao walimu wa Sayansi Nchi nzima wapo 23,000 kati ya Walimu 250,000+ hivi hizo one za PCB na PCM nyingi zitatoka wapi ??

Na O level wengi Wana one Kali sana tu labla A' level ndio kuna two chache na three ndio nyingi.

ILA KUMBUKA KUNA MADAKTARI WA D MBILI O LEVEL WENGI TU SIKU HIZI.
 
Nipo kada ya afya

Hio D1 ni mfamasia
E1 daktari bachelor
Sasa hilo gap nalo ni la nini tena ? Wakati mpaka mwaka wa kwanza chuo wamesoma pamoja !!?? At least ingekuwa laki moja au hata na nusu.

DUUH MWALIMU ITAMCHUKUA MIAKA 15 KUFIKIA HUO MSHAHARA AMBAO NI TGTS G1
 
Unawaongezaje mshahara watu wasio zalisha alafu ni wengi? Hizo hela za kuwaongeza zinatoka mfuko gani. Elimu ingekua inauzwa hapo walikua na haki ya kupewa mshahara mkubwa.
Hivi una watoto ambao wapo shule lakini ?? Hivi unajua umuhimu wa Mwalimu kwenye Taifa lolote Duniani!!?
 
ACHA mwl avune alichopanda,wakati wa uchaguzi wanakisaidia Chama Cha kijani kushinda Kwa kuwaibia kura,mimi hata asipolipwa sawa tu maana anatumikia Chama chake [emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Acha kamba wewe..mtu apate one ya PCB aende ualimu?..si atakuwa kichaa.
Hapa umetapika Pumba kaka, unamaanisha DUCE pale hakuna one? Zipo tena zingine nzuri tu ila walilazimika kwenda uko kutokana ba sababu zilizokua nje ya uwezo wao.
Unakosea kulinganisga ufaulu ja mshahara kwa dunia ya leo ambayo kuna MD wana three pale Kairuki na Kampala na wakija kazini wanakunja Pesa sawa na MD wa MUHAS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…