DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kazi IPO!! mhhh!!

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Serikali wataangalia Mambo mangapi, ilo swala la kada ya uhamiaji tu, na uhamiaji ndo serikali nayo, maeneo hayo Kuna viongozi barozi, mwenyekiti, watendaji wanashindwa kwenda uhamiaji kuripot ilo swala?
Yaani watanzania ni watu qa ajabu sana,tunajifanya kila kitu hakituhusu,hivi kweli kama hali ni hiyo kama anavyosimulia jamaa,wananchi wamechukua hatua gani? Wao kama wao?ulinzi huanzia kwa wananchi wenyewe,hii Amani ndio imetufikisha hapa kila mtu hana time,na mgeni likija kutokea tatizo utasikia lawama kibao utafikiria jamaa alikuwa akiishi angani!!
 
Uzuli wa hawa watu kibarua kazi wasizo zitaka wabongo au kuzifanya kwa bei kuwa wao ukusanyika na kufanya kazi hizo kwa malipo nafuu wengi wao wamejazana kwenye makampuni ya ulinzi
Lakini sheria hairuhusu hicho kitu,ndio maana hawezi kuwa vibali halisi.
 
😂😂 Wanazingua kinoma!
 
Kwanza watanzania wote mliopo eneo hilo ni wapumbavu kabisa!!kama hali ndio hiyo na mpo mpo tu,mkishindwa kuchukua hatua mnakimbilia kulalamika tu.Nenda DRC pamoja na hali yao ya vita uone kama unaweza kukaa sehemu bila kutambulika umefikaje hapo!!Wakati mwingine amani sana hufanya mijitu kuwa mijinga.
 
Tukimaliza na Wamalawi, tutaanza na Wapemba, kisha Wachagga na mwisho Wakinga
 
Ndio maana inakua ngumu kwa sisi watoa taarifa kama hizi eti kujipeleka kwa viongozi wa mitaa, mala polis kueleza mambo kama haya, wote hao akili zao kama za wachagiaji humu. Hawaoni shida kbs mpaka litokee tatizo ndo utaona lawama za kutupiana mipira zinaanza.
 
Halafu wepesi kujifunza kiswahili hao. Yaani wakishakaa miezi 6 tu wanaongea fluent Swahili. Sema wanakuwa na ka lafudhi Kama watu wa Mbozi. Sio rahisi kuwatofautisha.
Kama Wamakonde sio mbozi utasikia Chiswahili
 
Akili za wachagiaji wengi humu ndo za viongozi wetu mkuu! Wao hawaoni shida watu kutomb..! Mchana kweupe Tena chumba kimoja, kitanda kimoja kwa wakati mmoja huku watoto wakisikiliza Kila kitu kinachofanyika ndani maana maeneo wanayopenda kukaa hao jamaa ni uswahilini.

WIZI-Wao hawaoni shida ktk hilo mpaka waguswe kisiasa ndo utawaona wanakulupuka.
 
Kama hali ni mbaya kiasi hicho,kwanini wananchi msiitishe mkutano mkatoa malalamiko yenu hayo?yakawafikia viongozi na siku hizi kumfikia hata waziri sio kazi kubwaa!!
 
Malawi kuna mtanzania mmoja anaitwa Bishop simama kawekeza
Sana huko
Bado kuna sehemu nyingi tu wako wabongo wa kawaida wana hustle huko....

Ova
 
Waacheni wamalawi ndugu zetu ....miaka nyuma sisi tulienda sana sana lilongwe mzuzu etc kufanya biashara sasa uchumi wetu mzuri waache nao wafanya kazi ....wasife njaa
....
Tena mzuzu pale kuna wabongo wengi
Huyu mleta uzi atakuwa mtoto wa mama hajui mambo ya kuvuka mipaka

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…