Serikali: Daraja la Tanzanite kuanza kutumika Feb 1, magari kupita bure


Ushahidi unaonekana...
 
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.

Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Watu kama hawa sibure Mzee Magu aliwatumbua kwa vyeti feki[emoji16]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.

Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.
Ndan ya miaka mingap? na JPM katumia muda gan?
 
R.ip Magufuli.
R.i.p mzalendo wa kweli.
Hili daraja lilipingwa Sana na wajuvi wa mambo ya maendeleo ya miji na majiji. Wajuvi walisema hili daraja halitakuwa na msaada Sana ktk kupunguza foleni ya kwenda posta.

Lkn jini aliziba masikio kama kawaida yake na kupuuza ushauri wa wananchi. Amezitumia vibaya fedha zetu za kodi Kwa kufanya jambo zuri mahala pasipostahili
 
[emoji3][emoji3][emoji3] akil zako km mtoto , kwan kuna mtu anasema katoa ela mfukoni?
 
Wewe akili yako inawaza vyama mimi siko huko, hatufanani ujinga.

Watafute Chadema muanze kushindania vyama vyenu, mimi si mtumwa wa Chama chochote.
afrika inahitaj watu kama ww , chama sio kabila
 
Ambariki kwakua yeye ndio kajenga daraja?au?pesa yake ya mfukoni sidhan Kama inaweza Jenga Hilo daraja...ok ngoja TU niseme AMINA...
chuki zinakufanya uwe mpuuz sna , 80% ya ujenzi umefanyika chini ya JPM
 
Duh kikwete ndo muandaaji wa ilani ya ccm sio ?
 
Tungependa kuona madaraja yote ya Dar yaliyoasisiwa na serikali ya awamu ya nne yaitwe majina yake halisi badala ya kupewa majina rafiki zake mpenda misifa.
yataje hayo madaraja , mijitu mingine chuki inawafanya kuwa wapumbav ila watoto zenu watakuja kumuenz JPM , Nyerere pia alichukiwa sana kipind anajenga misingi ya hii nchi
 
Pia hapa Dar kapiga hospital nyingi ikiwemo ninayoifanyia kaz , km mamtoni vile ila huez amini tangu aondoke hakuna water supply kbs sio chooni sio vyumba vya kutolea huduma
 
Chato kwann isiwe na uwanja wa ndege wakati na yenyewe ni wilaya ? Iwapo wilaya nyingine nyingi zina viwanja vya ndege
 
Ukiingia kwa ndani kabisa, mwendazake alikuwa na sifa za kipuuzi mno.
Ttzo mliofeli form 4 mlizoea mteremko sana kuishi kwa migongo ya wajomba zenu , JPM alileta mfumo wa utakula kwa jasho lako , watu wa namna hii ndo mnamchukia sn JPM ila history itaongea tu
 
Tayari vijambio vinawapwita, Jakaya Kikwete amejenga daraja la kigamboni, Ifakara, airport terminal three, flyover aliacha jiwe la msingi na mengi mengi tu.

Hizo ni pesa za Watanzania hakuna hisani ya mungu wenu hapo.

Mkuu pole sana yani unaonesha una matatizo mengi sana ya kisaikolojia na ya kifamilia....Mbona unateswa sana na maiti? Mkuu una shida ya akili sio bure nimenotice
 
Kazi nzuri sana hii.... hongera wahandisi, wasimamizi na wote mliofanikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…