Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hehe kwakua nyinyi ni matajiri na mmepambana hadi sasa mmetokomeza corona kabisaWewe ndio una ufinyu wa akili, yani nyie watanzania dah wacha tu.... shule na zifungwe ili kudhibiti ugonjwa usije ukasambaa sana. lakini hata hivyo wakati nchi zote za africa mashariki zilikuwa za pambana kwa njia moja au nyingine nyie mlikuwa mkitukejeli tu.... watanzania aiseee... wacha tu.... najua sasa mbona nyinyi nchi maskini ingawa mna rasilimali chungu nzima....ni kwa sababu ya upumbavu umekithiri zaidi
Kona mwaka jana siyo kigezo cha kutofunga sasa kwani itatumika mapungufu hayo kuwaelimisha kuwa wawapo nyumbani watulie waache uzurulaji wa hovyo hovyo kuepuka kusambaza maambukiziTulijionea mwaka jana haohao watoto shule zilipofungwa ndo wakawa wanazagaa mitaani kama vile hawana wazazi,,,,,....acha tubet
Wabongo hawahawa................Kona mwaka jana siyo kigezo cha kutofunga sasa kwani itatumika mapungufu hayo kuwaelimisha kuwa wawapo nyumbani watulie waache uzurulaji wa hovyo hovyo kuepuka kusambaza maambukizi
Wewe simama uliposimama achana na mtu anayesaka uteuzi au mmiliki wa shule anayemiliki duka Jirani na shule hawezi kutaka shule zifungwe akose mapatoNaona mmegawanyika sana,wengine shule zifungwe wengine zisifungwe, corona ndio atakuwa mwamuzi nyie endelea kubishana
Alishakataa ku-lock down mbonaTunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!
Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa, wanaambukizana na kuileta majumbani na kuwaambukiza wazazi na watu wenye umri mkubwa nyumbani.
Hii ndo balaa! Kama tutaweza kudhibi maambukizi kwa watoto na vijana, tutakuwa tumefanikiwa sana kuokoa maisha ya watu wazima wanaojikinga katika familia. Shule na vyuo wafunge mwezi mmoja tu, maambukizi yatapungua.
Cha msingi maisha ni yako watoto ni wako, wasimamishe wasiende shule na wewe nunua mahitaji yako yote mjipige lockdown maisha yanaenda hakuna atakaekusumbua kabisa , ukiona upepo uko sawa rudi mtaaniWewe simama uliposimama achana na mtu anayesaka uteuzi au mmiliki wa shule anayemiliki duka Jirani na shule hawezi kutaka shule zifungwe akose mapato
Kufunga shule kama siku 10 siyo Tatizo kwani itasaidia kujipanga vizuri kuwalinda watoto wapate Elimu ya kujikinga kuwalinda wazazi na walimu piahakuna cha lokidauni wala babu yake la loki.
tuendelee kuchapa kazi huku tukifuata maelekezo ya wizara ya Afya.
tujikinge na kutumia dawa zetu za asili.
tusikubali korona itushinde.
kwa wenye maradhi sugu kama Ukimwi, Saratani, TB, Ugonjwa wa Moyo na Pumu ni vyema wakichukua tahadhari zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya majeneza imepaaaa sahvWanasema biashara ya majeneza kwa sasa inatajirisha watu,ni speed yako tu kutengeneza
Tukienda hivyo ujue hata wewe unakuwa marehemu mda si mrefu jaribu kumuogopa mungu tafuta jawabu sahihi la kupunguza maambukizi tupate kuwaokoa walimu na wazazi ambao wapo hatarini zaidiCha msingi maisha ni yako watoto ni wako, wasimamishe wasiende shule na wewe nunua mahitaji yako yote mjipige lockdown maisha yanaenda hakuna atakaekusumbua kabisa , ukiona upepo uko sawa rudi mtaani
My brother you cannot compare tz and kenya ....we are so intelligent and richer than you....Saa hii ndio mnakimbizana na mambo tulio pambana nayo 2020. yaani mna akili ndogo....serikali yenu ilificha mambo hadi sasa mmeanza kujionea vifo kwa macho ndio mnashtuka... yani mna akili ndogo sanaHehe kwakua nyinyi ni matajiri na mmepambana hadi sasa mmetokomeza corona kabisa
Yule ummy mwalimu alikuwa waziri makini mno alikuwa waziri bora alipiga marufuku salam za kushikana mikono ambazo ndiyo kiini kikuu cha maambukizi alihimiza ofisi nyumba zote kunawa mikono kupaka vitakasa mikono kuvaa barakoa kwa bidii ni tofauti na huyu waziri wa sasa ambaye hajui chochote zaidi ya kujimwambafy mda mwingiWizara irudi kwa aunt ummy
Ugonjwa ungekuwa siasa katibu mkuu ofisi ya Rais asingekufa na ungekuwa unachochewa na wapinzani ndugu zako wabunge wakurugenziccm na wengineo wasingekufa, usije na mifano ya marekani kwenye idadi kubwa ya watu kuliko Tanzania ambayo idadi siyo kubwa wanatakiwa walindwe, acheni kujitoa fahamu kusaka uteuzi kutetea uovu wa kuua wata kishamba shamba kwa njia haramu za kishetani
My brother you cannot compare tz and kenya ....we are so intelligent and richer than you....Saa hii ndio mnakimbizana na mambo tulio pambana nayo 2020. yaani mna akili ndogo....serikali yenu ilificha mambo hadi sasa mmeanza kujionea vifo kwa macho ndio mnashtuka... yani mna akili ndogo sana
Watu wengine mmekosa maarifa kama jiwe, nani kasema ishu ya lockdown?Acheni kufata mkumbo basi, hivi kama tungefunga shule tangu mwaka jana mwezi wa tatu na tukaweka lock down hali ingekuaje?
sasa ona akili ndogo....na zidi kulaumu viongozi wenu.. sikulaumu wewe maana kisomo na mawazo yako.....naongelea utajiri wa nchi.. sio wa watu.. utajiri wa kimasomo, utajiri wa fikra, utajiri wa kiserikali, utajiri wa akili za viongozi, nkldogo unaongelea utajiri gan?
View attachment 1705495
music mshaloose kitambo, sports ndo hata msiongee, infrastructure ndo zpo mbioni which wealth and intelligence mnaongelea?
Unadhani kila mtu anaogopa kifo wewe...........kwa Yesu kifo ni ushindi...hii ni vita na tutashindaTukienda hivyo ujue hata wewe unakuwa marehemu mda si mrefu jaribu kumuogopa mungu tafuta jawabu sahihi la kupunguza maambukizi tupate kuwaokoa walimu na wazazi ambao wapo hatarini zaidi
kipimo Cha akili ndogo unakijua ww!! the lower the IQ,the higher the impact.tanzania na Kenya ,wapi wametaabishwa na covid.umesahau kwa IQ yenu ndogo mlidhani kujifungia ndani ndo solution,manyumbu kweli nyny na waoga na wavivu wa kufikilia.magoda yako wewe!!!My brother you cannot compare tz and kenya ....we are so intelligent and richer than you....Saa hii ndio mnakimbizana na mambo tulio pambana nayo 2020. yaani mna akili ndogo....serikali yenu ilificha mambo hadi sasa mmeanza kujionea vifo kwa macho ndio mnashtuka... yani mna akili ndogo sana
sasa ona akili ndogo....na zidi kulaumu viongozi wenu.. sikulaumu wewe maana kisomo na mawazo yako.....naongelea utajiri wa nchi.. sio wa watu.. utajiri wa kimasomo, utajiri wa fikra, utajiri wa kiserikali, utajiri wa akili za viongozi, nkl