Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

Donor yupi aliyelalamika, au wewe?

Anaelalamika huyo atakuwa ni sembe.
 
Isidori kafufuka, eti kweli?
 
Mkila kande mnaandika chochote, unafaham maana ya serikali kuishiwa fedha.
 

Halmashauri watumishi hata hela za likizo wanakopwa,yani hali ni tete. Failed state
 

Tumefika hapa kwa sababu ya kubebana,kuoneana aibu na kuto kuajibishana,haya ndio matokeo ya serikali ya ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…